FIFA: OKWI RUKSA YANGA

Emmanuel Anorld Okwi. KIUNGO nyota Mganda, Emmanuel Anorld Okwi, ni mchezaji halali wa Yanga. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuhusiana na habari hiyo njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa lile la kimataifa (Fifa). TFF ndiyo waliosimamisha usajili wa Okwi, saa chache kabla ya kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini jana wamethibitisha anaweza kuanza kuitumikia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
BREKING NYUUUZZZZZZ: Emmanuel Okwi ruksa kuchezea yanga - FIFA
.jpg)
11 years ago
GPL
OKWI RUKSA KUITUMIKIA YANGA
11 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Ruksa Yanga SC kwenda Fifa — TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limebariki safari ya klabu ya Yanga kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kupeleka suala la mshambuliaji Emmanuel Okwi, ingawa wao kama wasimamizi wa soka...
11 years ago
Mtanzania09 Sep
Yanga kumburuza Okwi FIFA

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Okwi
NA ZAITUNI KIBWANA, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa timu ya Yanga unakusudia kuwasilisha malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kumuidhinisha Okwi kuichezea Simba.
Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Richard Shinamkutwa, ilikutana juzi kujadili usajili huo uliozua utata na kumuidhinisha Okwi kama mchezaji huru, akiwemo beki, Abdi Banda wa Coastal Union, aliyeidhinishwa pia...
11 years ago
GPL
Fifa: Okwi rukusa Yanga
11 years ago
TheCitizen15 Feb
Okwi happy after Fifa clears him for Yanga
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga
11 years ago
TheCitizen14 Feb
Joy for Yanga as Fifa okays Okwi transfer
11 years ago
GPL
OKWI: YANGA WAENDE FIFA, CAS WATANISIKIA KWENYE BOMBA