Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya dunia yaitaka Tanzania kutowabagua wanafunzi wajawazito

Tanzania na Benki ya Dunia zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala mbalimbali ikiwemo elimu, uendelezaji wa miundo mbinu na masuala ya kijamii

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania

DSCI0119

Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali  Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA TANZANIA WAKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA KWA TANZANIA,RWANDA,UGANDA NA BURUNDI

Bw. Phippe Dongier ambaye ni mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi alipokuwa akijibu hoja zilizotolewa na Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali na kuahidi kuzifanyia kazi.Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yaridhishwa na Tanzania

BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendeshwa na Serikali, inayofadhiliwa na benki hiyo. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhamini Uwekezaji (Miga), Michael Wormser, amesema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

9 years ago

StarTV

FA Yaitaka FIFA kurudisha fedha za kuomba uenyeji wa kombe la Dunia

Kufuatia matamshi ya kuudhi yaliyotolewa na rais wa FIFA aliyesimamishwa Joseph Sepp Blatter  baada ya England kushindwa kupata uenyeji wa  kombe la dunia 2018, Chama cha soka cha nchi hiyo kimesema kina haki ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya FIFA.

Mwenyekiti wa chama hicho Greg Dyke akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo amesema kuwa timu ya kampeni ya mchakato wa uenyeji ya England ikiongozwa na Simon Johnson ilifuata kanuni na taratibu zote za kisheria mpaka usiku kabla ya upigaji...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YAIKOPESHA TANZANIA BIL 422.8

Mwakilishi Benki Dunia, Country Director (katikati) akisaini mkopo wa fedha kwa wizara ya Afra. Kulia ni Katibu mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Servacius LikwelileMwakilishi Benki Dunia, Country Director (katikati) akisaini mkopo wa fedha kwa wizara ya Afra. Kulia ni Katibu mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Servacius Likwelile
TANZANIA imesaini mkopo wa Sh. 422.8 Bil kutoka Benki Kuu ya Dunia ili kuimarisha huduma ya afya nchini. Akisaini mkopo huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile amesema, mkopo huo unalenga kuimarisha huduma za awali za afya nchi inayolenga wajawazito, vichanga na watoto.
Likwelile amesema, huduma hiyo itahusisha zaidi...

 

10 years ago

Habarileo

DC awaokoa wanafunzi wajawazito

BAADHI ya wanafunzi walioacha masomo, baada ya kupata ujauzito wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameelezea kujutia makosa hayo na kumuomba Mkuu wa Wilaya kuwasaidia warudi shuleni.

 

10 years ago

Michuzi

MAJUMUISHO YA MAJADILIANO YA AWALI KATI YA TANZANIA, BENKI YA DUNIA NA IMF

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ambaye ni kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu ambaye pia ni Gavana katika mikutano hii. Katika picha viongozi hao wakiwa wanafanya majumuisho ya majadiliano ya awali na kukubaliana cha kufanya kwa pamoja na viongozi kutoka IMF na WB kuhusiana na hali ya uchumi kwa maana ya sera za fedha na sera za mapato na...

 

10 years ago

Habarileo

Sera kuwezesha wanafunzi wajawazito yaja

SERIKALI imesema iko mbioni kuzindua sera ya elimu itakayoruhusu wasichana kuendelea na masomo pindi wanapokuwa wamepata ujauzito na kujifungua ili kuhakikisha kila mmoja anapata haki sawa ya elimu.

 

11 years ago

Habarileo

Benki ya KCB yakabidhi mashine kupimia wajawazito

KITUO cha Afya cha Makongoro, jijini hapa kimepokea msaada wa mashine ya Ultra Sound na Suction zenye thamani ya Sh milioni 15 kwa ajili ya kupimia wajawazito na wagonjwa wengine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani