Benki ya Dunia yaridhishwa na Tanzania
BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendeshwa na Serikali, inayofadhiliwa na benki hiyo. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhamini Uwekezaji (Miga), Michael Wormser, amesema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Sep
Benki ya Dunia yaridhishwa na DART
BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) na kuahidi kuhakikisha awamu zote za mradi zinakamilika kwa uhakika.
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Benki ya Dunia yaridhishwa mradi wa DART
BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), ambao upo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Akizungumza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yTp07TP255o/XmfglGuRc-I/AAAAAAAEGMs/Ctb1fhBBLJoKBZjK89LB1t0MRIZ0eZHaQCLcBGAsYHQ/s72-c/6b6104e9-5b5a-4071-bcbe-17e4c02cf921.jpg)
BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA KASI YA UKARABATI WA RELI YA KATI DAR – ISAKA
Wafadhili wa ukarabati wa reli ya kati Benki ya Dunia wameridhishwa na ukarabati wa reli ya kati – TIRP katika ziara waliyoifanya kuanzia Dar es Salaam hadi Tabora - Isaka, hivi karibuni Machi, 2020.
Lengo ni kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika katika ukamilishaji wa ukarabati huo, ziara hiyo iliyofanywa katika njia nzima ya reli ya kati ambapo maafisa kutoka benki ya Dunia wakishirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC pamoja na wahandisi washauri kuoka DOHWA na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7CdsQHTv-AA/VZkQFKm7nkI/AAAAAAAHnDk/UOAAJGa4P20/s72-c/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
Benki ya Dunia Kanda ya Afrika yaridhishwa na maboresho ya miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-7CdsQHTv-AA/VZkQFKm7nkI/AAAAAAAHnDk/UOAAJGa4P20/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania
Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...
10 years ago
MichuziUJUMBE WA TANZANIA WAKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA KWA TANZANIA,RWANDA,UGANDA NA BURUNDI
9 years ago
Michuzi26 Aug
BENKI YA DUNIA YAIKOPESHA TANZANIA BIL 422.8
![Mwakilishi Benki Dunia, Country Director (katikati) akisaini mkopo wa fedha kwa wizara ya Afra. Kulia ni Katibu mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Servacius Likwelile](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/GnbibxpZIlba728OUaI_cq7NaWo_Zxl2_pLV09DHHQpwdVlH4hGkIugr68xiKYYWwO0zDLSXzHeRCGFOiDp13PiYDgpR99qE7hkacSAvwECEBoocELgA6GQnqLCPysNR=s0-d-e1-ft#http://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2015/08/Fedha--620x308.jpg)
TANZANIA imesaini mkopo wa Sh. 422.8 Bil kutoka Benki Kuu ya Dunia ili kuimarisha huduma ya afya nchini. Akisaini mkopo huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile amesema, mkopo huo unalenga kuimarisha huduma za awali za afya nchi inayolenga wajawazito, vichanga na watoto.
Likwelile amesema, huduma hiyo itahusisha zaidi...
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Benki ya dunia yaitaka Tanzania kutowabagua wanafunzi wajawazito
10 years ago
Michuzi14 Oct
MAJUMUISHO YA MAJADILIANO YA AWALI KATI YA TANZANIA, BENKI YA DUNIA NA IMF