Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Dunia yaridhishwa na DART

Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mkuu Uendeshaji wa Benki ya Dunia, Sri Mulyani IndrawatiBENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) na kuahidi kuhakikisha awamu zote za mradi zinakamilika kwa uhakika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Benki ya Dunia yaridhishwa mradi wa DART

BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), ambao upo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Akizungumza...

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yaridhishwa na Tanzania

BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendeshwa na Serikali, inayofadhiliwa na benki hiyo. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhamini Uwekezaji (Miga), Michael Wormser, amesema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA KASI YA UKARABATI WA RELI YA KATI DAR – ISAKA


Wafadhili wa ukarabati wa reli ya kati Benki ya Dunia wameridhishwa na ukarabati wa reli ya kati – TIRP katika ziara waliyoifanya kuanzia Dar es Salaam hadi Tabora - Isaka, hivi karibuni Machi, 2020. 
Lengo ni kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika katika ukamilishaji wa ukarabati huo, ziara hiyo iliyofanywa katika njia nzima ya reli ya kati ambapo maafisa kutoka benki ya Dunia wakishirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC pamoja na wahandisi washauri kuoka DOHWA na...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Dunia Kanda ya Afrika yaridhishwa na maboresho ya miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Bw. Awadh Massawe kulia akitoa maelezo ya maboresho yanayoendelea kufanyika katika Bandari ya Dar es Salaa kwa ujumbe wa Benki ya Dunia, ambao ulifanya ziara ya kujionea miradi ya maboresho inayoendelea kufanyika katika Bandari hiyo ambayo miongoni mwa miradi hiyo inafadhiliwa na benki hiyo ili kusaidia kuleta ufanisi wa utendaji kazi, wa pili kutoka kushoto nia Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika,Bw. Makhtar Diop,...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaridhishwa na DART

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia ameridhishwa na tathmini ya Mkutano wa Mashauriano wa awamu ya kwanza wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), uliofanyika hivi karibuni.

 

10 years ago

Michuzi

DART YARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA

Mkuu wa kitengo cha Ufundi, Strabag International, Bw. Peter Simoneit (kulia) akielezea jambo kwa ujumbe wa maafisa waliotembelea kituo kilichokamilika cha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka eneo la Kimara Resort jana jijini Dar es Salaam. Wanaomsikiliza ni Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa Miundombinu wa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Mhandisi John Shauri (wa pili kulia), Meneja Usimamizi na Uendeshaji Barabara, DART, Mhandisi Mohamed Kuganda na Mhandisi wa Mradi wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Benki ya dunia yasaidia Ebola

Benki ya Dunia imetangaza kutoa msaada wa hadi dola milioni mia mbili, ili kuzisaidia tatu za Afrika magharibi kukabiliana na Ebola.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana ailaumu Benki ya Dunia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameilaumu Benki ya Dunia kwa urasimu uliokithiri na sera mbovu zinazokandamiza nchi masikini, badala ya kuzisaidia.

 

10 years ago

Mwananchi

Benki ya Dunia kuipangilia D’Salaam

Benki ya Dunia imetoa mikopo mitatu ya Sh710 bilioni (Dola 396 milioni za Marekani) kwa Serikali ili kusaidia kukuza miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, kusaidia masuala ya uvuvi na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani