Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Dunia kuipangilia D’Salaam

Benki ya Dunia imetoa mikopo mitatu ya Sh710 bilioni (Dola 396 milioni za Marekani) kwa Serikali ili kusaidia kukuza miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, kusaidia masuala ya uvuvi na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Benki ya Dunia Kanda ya Afrika yaridhishwa na maboresho ya miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Bw. Awadh Massawe kulia akitoa maelezo ya maboresho yanayoendelea kufanyika katika Bandari ya Dar es Salaa kwa ujumbe wa Benki ya Dunia, ambao ulifanya ziara ya kujionea miradi ya maboresho inayoendelea kufanyika katika Bandari hiyo ambayo miongoni mwa miradi hiyo inafadhiliwa na benki hiyo ili kusaidia kuleta ufanisi wa utendaji kazi, wa pili kutoka kushoto nia Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika,Bw. Makhtar Diop,...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akizungumza na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana  na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia afanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati (wapili kushoto) na Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) wakimsikiliza kwa makini Meneja wa kitengo cha mafuta cha Kurasini Oil Jet (KOJ), Capt. Mwingamno wakati Dk. Sri Mulyani Indrawati alipokitembelea kitengo hicho kilichopo ndani ya bandari ya Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati (katikati) na mwenyeji wake Waziri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana ailaumu Benki ya Dunia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameilaumu Benki ya Dunia kwa urasimu uliokithiri na sera mbovu zinazokandamiza nchi masikini, badala ya kuzisaidia.

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yaridhishwa na Tanzania

BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendeshwa na Serikali, inayofadhiliwa na benki hiyo. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhamini Uwekezaji (Miga), Michael Wormser, amesema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yaridhishwa na DART

Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mkuu Uendeshaji wa Benki ya Dunia, Sri Mulyani IndrawatiBENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) na kuahidi kuhakikisha awamu zote za mradi zinakamilika kwa uhakika.

 

11 years ago

BBCSwahili

Benki ya dunia yasaidia Ebola

Benki ya Dunia imetangaza kutoa msaada wa hadi dola milioni mia mbili, ili kuzisaidia tatu za Afrika magharibi kukabiliana na Ebola.

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Dunia yaipongeza Tasaf

Benki ya Dunia(WB),imeridhika na matumizi ya fedha inazozitoa katika miradi ya kuondoa umaskini kwa kaya maskini nchini inayoendeshwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani