Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Dunia yaipongeza Tasaf

Benki ya Dunia(WB),imeridhika na matumizi ya fedha inazozitoa katika miradi ya kuondoa umaskini kwa kaya maskini nchini inayoendeshwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia, wadau waridhishwa na Tasaf

WADAU wa maendeleo wanaofadhili mpango wa utoaji fedha kwa kaya masikini, wameeleza kuridhishwa na Serikali inavyoutekeleza kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf).

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA BW. KYLE PETERS ATEMBELEA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOETEKELEZWA NA TASAF WILAYANI BAGAMOYO.

 Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bwana Kyle Peters amefanya ziara katika kijiji cha Buma wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ambako ameshuhudia walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF na kuridhishwa kwake na namna mpango huo ulivyowanufaisha walengwa ambao wameanza kuondokana na umaskini.
Akiwa kijijini hapo Bwana Peters alitembelea moja ya nyumba iliyoboreshwa na mmoja wa walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini Bwana Bakari Rajabu Bakari ambaye kwa kutumia fedha...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA BW. KYLE PETERS ATEMBELEA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOETEKELEZWA NA TASAF WILAYANI BAGAMOYO

Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kyle Peters akiwahutubia wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini katika kijiji cha Buma wilayani Bagamoyo. Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus…

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Yaipongeza Benki Ya Exim Kwa Kuwalinda Wateja Na Athari Za Covid 19

Serikali imeagiza benki na taasisi za fedha kutathmini kwa kina athari zinazotokana na mlipuko wa COVID-19 kwenye urejeshaji wa mikopo ya wateja wa taasisi hizo huku ikipongeza benki ya Exim Tanzania kwa kuongeza muda wa urejeshaji wa mikopo ili kusaidia wateja wa benki hiyo  ambao biashara zao zimeathiriwa zaidi  na janga hilo.Akiwasilisha bungeni mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2020/21 jijini Dodoma hivi karibuni , Waziri wa Fedha na Mipango,...

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yaridhishwa na Tanzania

BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendeshwa na Serikali, inayofadhiliwa na benki hiyo. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhamini Uwekezaji (Miga), Michael Wormser, amesema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana ailaumu Benki ya Dunia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameilaumu Benki ya Dunia kwa urasimu uliokithiri na sera mbovu zinazokandamiza nchi masikini, badala ya kuzisaidia.

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yaridhishwa na DART

Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mkuu Uendeshaji wa Benki ya Dunia, Sri Mulyani IndrawatiBENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) na kuahidi kuhakikisha awamu zote za mradi zinakamilika kwa uhakika.

 

11 years ago

BBCSwahili

Benki ya dunia yasaidia Ebola

Benki ya Dunia imetangaza kutoa msaada wa hadi dola milioni mia mbili, ili kuzisaidia tatu za Afrika magharibi kukabiliana na Ebola.

 

10 years ago

Mwananchi

Benki ya Dunia kuipangilia D’Salaam

Benki ya Dunia imetoa mikopo mitatu ya Sh710 bilioni (Dola 396 milioni za Marekani) kwa Serikali ili kusaidia kukuza miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, kusaidia masuala ya uvuvi na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani