BENKI YA DUNIA YAIKOPESHA TANZANIA BIL 422.8
Mwakilishi Benki Dunia, Country Director (katikati) akisaini mkopo wa fedha kwa wizara ya Afra. Kulia ni Katibu mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Servacius Likwelile
TANZANIA imesaini mkopo wa Sh. 422.8 Bil kutoka Benki Kuu ya Dunia ili kuimarisha huduma ya afya nchini. Akisaini mkopo huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile amesema, mkopo huo unalenga kuimarisha huduma za awali za afya nchi inayolenga wajawazito, vichanga na watoto.
Likwelile amesema, huduma hiyo itahusisha zaidi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBREAKING NEWSSSS: BENKI YA STANDARD CHATERED YAIKOPESHA TANZANIA SH. TRILIONI 3.3 KUJENGA RELI YA KISASA-SGR
Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani, wakitia saini makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3, zilizotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020.
Waziri wa Fedha na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FTOpC39s4-Q/U_Mq3BolFzI/AAAAAAAGAs8/h73eS5whQfQ/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
Sekta ya Elimu yapokea Bil. 203 kutoka Benki ya Dunia
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa kupokea mkopo nafuu wa shilingi bilioni 203 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu katika mpango wake wa matokeo makubwa sasa(BRN).
Mkataba huo umesainiwa na Katibu mkuu wa wizara ya fedha Dk. Servacus Likwelile huku ukiwashirikisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Elinu na Naibu Katibu Mkuu kutoka TAMISEMI leo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo fupi ya kusaini mkataba Katibu Mkuu wa...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania
Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...
10 years ago
MichuziUJUMBE WA TANZANIA WAKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA KWA TANZANIA,RWANDA,UGANDA NA BURUNDI
10 years ago
Habarileo29 Aug
Benki ya Dunia yaridhishwa na Tanzania
BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendeshwa na Serikali, inayofadhiliwa na benki hiyo. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhamini Uwekezaji (Miga), Michael Wormser, amesema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Benki ya dunia yaitaka Tanzania kutowabagua wanafunzi wajawazito
10 years ago
Michuzi14 Oct
MAJUMUISHO YA MAJADILIANO YA AWALI KATI YA TANZANIA, BENKI YA DUNIA NA IMF
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-l8OxnkeTWjk/VQKKZMbvnFI/AAAAAAAHJ_E/D0kjx7GGl50/s72-c/Untitled.png)
UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA BENKI YA DUNIA KUHUSU STADI NA MAENDELEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-l8OxnkeTWjk/VQKKZMbvnFI/AAAAAAAHJ_E/D0kjx7GGl50/s1600/Untitled.png)
9 years ago
MichuziBENKI YA DUNIA NA JAPAN (JICA) KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI TANZANIA
JAPANI YAKUBALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA BAJETI YA MAENDELEO KATIKA...