Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA DUNIA NA JAPAN (JICA) KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI TANZANIA

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile katika majadiliano na Bw. Hiroshi Kato ambaye ni Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA). Katibu Mkuu Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wa kwanza kulia akiendelea  kufanya majadiliano na ujumbe wa JICA ukiongozwa na Rais wa JICA Bw.  Hiroshi Kato wa pili kulia.
JAPANI YAKUBALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA BAJETI YA MAENDELEO KATIKA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MRADI WA TIER 1 KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA.

Mazingira ya biashara nchini yataendelea kuimarika na kuinufaisha nchi na wananchi kwa ujumla iwapo mradi wa Tier 1 utatekelezwa kikamilifu kwa wakati na kwa kuzingatia malengo yanayokusudiwa.   Mradi wa TIER 1 ni mradi unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP wenye lengo la la kujenga uwezo wa kuchambua, kushirikisha kuongeza ufanisi wa watendaji wa Serikali katika Sekta ya Viwanda, Biashara na Masoko ili waweze kuboresha Sekta hiyo na kuifanya kutoa mchango mkubwa...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YAIDHINISHA KUTOA MKOPO WA DOLA ZA KIMAREKEANI MILIONI 500 KWA TANZANIA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU



Na Leandra Gabriel, Michuzi TV


BENKI ya dunia kupitia bodi ya wakurugenzi imeidhinisha kutolewa kwa mkopo wa dola za kimarekani milioni 500 (USD 500) kusaidia sekta ya elimu hasa kwa kuwawezesha vijana wa kitanzania kupata na kumaliza elimu ya Sekondari salama na katika mazingira bora.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki ya dunia imeelezwa kuwa pesa hizo zitawanufaisha wanafunzi milioni sita na nusu wa shule za sekondari kwa kuisaidia Serikali kuanzisha mifumo madhubuti kwa wanafunzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa: Kuboresha mazingira ya biashara kutachochea ukuaji uchumi

Rais mstaafu, Benjamin Mkapa anaamini Bara la Afrika linahitaji kuongeza juhudi katika kuboresha mazingira ya biashara.

 

11 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yatoa bilioni 74/- kuboresha maji

BODI ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia, imeidhinisha msaada kwa Tanzania zaidi ya Sh bilioni 74 kusaidia upatikanaji wa huduma ya maji safi, salama na maji taka kwa familia masikini za mijini na vijijini.

 

11 years ago

Mwananchi

Vikwazo hivi viondolewe kuboresha biashara nchini

Licha ya wawekezaji kuvutiwa na mazingira mazuri ya uwekezaji, juhudi za ziada zinapaswa kufanyika ili kuiondoa Tanzania katika nafasi ya chini ambayo imeshika kutokana na kukumbatia vikwazo vingi vinavyozuia biashara kufanyika kirahisi.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaahidi kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha hali ya magereza nchini

Wafanyakazi wa Benki ya Exim tawi la Mwanza na wawakilishi wa gereza la Butimba wakiwa katika picha ya pamoja, muda mfupi baada ya Benki hiyo kukabidhi vifaa vya usafi  kwa gereza la Butimba lililopo jijini Mwanza hivi karibuni. Mchango huo ni sehemu ya shughuli za kibenki za kijamii lakini pia ukilenga kusaidia wafungwa kubadili tabia.
Exim Bank imeahidi kuendelea kusaidia juhudi za serikali katika kuboresha hali ya magereza nchini, ikiwa ni sehemu ya shughuli zake za kibenki za kijamii....

 

5 years ago

Michuzi

IMF YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA KIBIASHARA NA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI


Charles James, Michuzi TV

TANZANIA imepongezwa na Shirika la Fedha duniani (IMF) kutokana na namna ilivyoboresha mazingira ya kibiashara, kudhibiti mfumuko wa bei ambao uko chini ya asilimia tano, ongezeko la mikopo sekta binafsi pamoja na uimara wa kuwa na fedha nyingi za kigeni kulinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki.

Ripoti ya Shirika hilo iliyotolewa Machi mwaka inaeleza kuridhishwa na deni la Taifa ambalo wamelitaja kuwa himilivu na linaifanya Tanzania iendelee kupokea mikopo...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN

Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani