Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IMF YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA KIBIASHARA NA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI


Charles James, Michuzi TV

TANZANIA imepongezwa na Shirika la Fedha duniani (IMF) kutokana na namna ilivyoboresha mazingira ya kibiashara, kudhibiti mfumuko wa bei ambao uko chini ya asilimia tano, ongezeko la mikopo sekta binafsi pamoja na uimara wa kuwa na fedha nyingi za kigeni kulinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki.

Ripoti ya Shirika hilo iliyotolewa Machi mwaka inaeleza kuridhishwa na deni la Taifa ambalo wamelitaja kuwa himilivu na linaifanya Tanzania iendelee kupokea mikopo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UNODC YAIPONGEZA TANZANIA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA

Na. Erick Msuya 
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) kupitia kamisheni ya Kimataifa ya Kudhibiti Dawa za Kulevya limeipongeza Tanzania kwa jitihada madhubuti za kudhibiti na kupambana na tatizo la dawa za kulevya.Kwa mujibu wa taarifa inasema, juhudi hizo  zimeleta matokeo chanya katika mapambano ya dawa za kulevya duniani katika kipindi cha miaka  mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2018 hadi 2020.Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na...

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yaipongeza China kudhibiti biashara meno ya Tembo.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa zote zitokanazo na meno ya Tembo kutoka sehemu yoyote duniani kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa kusema hatua hiyo itasaidia kumaliza mauaji ya wanyama hao.

 

Uamuzi huo wa China unatokana na ushawishi wa Viongozi wa Afrika chini ya Rais Jakaya Kikwete na mataifa washiriki duniani ya Amerika, Ujerumani, Jumuiya ya Ulaya, Uingereza na Serikali ya...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania Yafanya Vizuri Mfumuko wa Bei - NBS

 Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa taifa umezidi kuimarika kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, 2020 baada ya kubaki palepale kwenye asilimia 3.7 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioshia Januari 2020.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Bi.Ruth Minja alisema kuwa kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioushia mwezi Februari, 2020 imebaki kuwa sawa na kasi ya...

 

11 years ago

Michuzi

TanTrade yapongezwa kwa kuboresha Muungano Kibiashara

 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa maonyesho ya biashara ya Eid El Fitri katika viwanja vya Maisara, wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Sabetha Mwambenja na katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Anna Bulondo. Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akiangalia bidhaa za wajasiriamali kwenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfumuko wa bei waongezeka kwa pointi

OFISI ya Taifa ya Takwimu, imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 6.5 hadi 6.7 kati ya Agosti na Julai mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa zisizo...

 

9 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WA NOVEMBA UMEONGEZEKA KWA ASILIMIA 6.6

 Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Epharaim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari juu ya mfumuko wa bei kwa mwezi Novemba ambao umefikia asilimia 6.6 leo jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Meneja wa  Mfumuko wa Bei wa NBS , Ruth Minja. 02.Waandishi wa habari wakifatilia taarifa kutoka Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu,Epharaim Kwesigabo  hayupo picha leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Chalila Kibuda wa Globu ya Jamii)

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA KWA ASILIAMIA 4.8 KWA DESEMBA 2014.

 Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu,Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari hawapo nchini juu mfumuko wa bei kwa desemba mwaka jana.Meneja wa Utafiti wa Benki Kuu (BoT),Johnson Nyella akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya sera za Benki Kuu  katika kudhibiti mfumuko.
Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii,Dar.
Mfumuko wa bei  wa  Taifa wa Disemba 2014 ulipungua kwa asilimia 4.8 kutoka   asilimia 5.8 Novemba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari leo...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2

Upungufu  wa chakula kwa baadhi ya mikoa nchini umeendelea kusababisha ongezeko la mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 4.2 hadi asilimia 4.2 ndani ya mwezi mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani