MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA KWA ASILIAMIA 4.8 KWA DESEMBA 2014.
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu,Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari hawapo nchini juu mfumuko wa bei kwa desemba mwaka jana.
Meneja wa Utafiti wa Benki Kuu (BoT),Johnson Nyella akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya sera za Benki Kuu katika kudhibiti mfumuko.
Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii,Dar.
Mfumuko wa bei wa Taifa wa Disemba 2014 ulipungua kwa asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8 Novemba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari leo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Mfumuko wa bei wapungua
OFISI ya Takwimu ya Taifa imesema mfumuko wa bei wa Juni umepungua hadi asilimia 6.4 kutoka asilimia 6.5 ilivyokuwa Mei mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
10 years ago
StarTV10 Feb
Mfumuko wa bei ya chakula wapungua.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es salaam.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetangaza kushuka kwa kasi ya Mfumuko wa Bei iliyojitokeza kwenye Bidhaa mbalimbali katika mwezi Desemba mwaka jana ambao ulikuwa asilimia 4.8 hadi kufikia asilimia 4.0 kwa Mwezi Januari mwaka huu.
Mkurugenzi wa takwimu za idadi za watu na huduma za kijamii Ephraim Kwesigabo amesema kupungua kwa mfumko wa bei hizo kumetokana na kushuka kwa kasi kwa bei za bidhaa za vyakula, Unga, mafuta ya taa Deseli na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--XCHZQkdebo/VDVOUgX_Y4I/AAAAAAAGouo/-OQLKojKOjQ/s72-c/unnamed.jpg)
MFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 6.6 kutoka asilimia 6.7 iliyokuwepo mwezi Agosti kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa bidhaa za vyakula zikiwemo mchele, mahindi, ulezi, matunda, Sukari na vinywaji baridi...
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Mfumuko wa bei wapungua nchini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nLML9an*avr6*g5w-cFa3Ryd9bVlS2LCophqQugdiUXBhtPDX3F8BgVr*TiqOJ4jJr3QTiQKt7xAWXioWfjXXMi9qU*PSch-/NBS1.jpg)
MFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA
10 years ago
Habarileo09 Jan
Mfumuko wa bei kitaifa sasa wapungua
UPANDAJI wa bei za bidhaa na huduma kuishia Desemba 2014 imepungua ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwezi Novemba mwaka huo huo.
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA HUDUMA NA BIDHAA WAPANDA KWA ASILIMIA 4.5
11 years ago
GPLOFISI YA TAKWIMU YA TAIFA YATANGAZA MFUMUKO WA BEI WA MWEZI JUNI, 2014