UNODC YAIPONGEZA TANZANIA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-6_nVA-1Cv3U/XmqLMSX375I/AAAAAAAC8W4/yGJbHXs3V4Ips1Y-jdrAVpXssAs-PzTiACLcBGAsYHQ/s72-c/UNODC.jpg)
Na. Erick Msuya
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) kupitia kamisheni ya Kimataifa ya Kudhibiti Dawa za Kulevya limeipongeza Tanzania kwa jitihada madhubuti za kudhibiti na kupambana na tatizo la dawa za kulevya.Kwa mujibu wa taarifa inasema, juhudi hizo zimeleta matokeo chanya katika mapambano ya dawa za kulevya duniani katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2018 hadi 2020.Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria
![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s1600/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
10 years ago
VijimamboUNODC KUISAIDIA ZANZIBAR KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA KWA JAMII
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) limesema litafanya tathmini ya kina kupata njia muafaka za kuisaidia Zanzibar kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya kwa jamii.
Hayo yamesema...
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
‘Tumefanikiwa kudhibiti uingizaji dawa za kulevya’
MKUU wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini, Godfrey Nzowa amesema mawasiliano baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yamefanikisha kudhibiti uingizwaji wa dawa za kulevya hapa nchini....
10 years ago
Habarileo08 Nov
Sheria mpya kudhibiti dawa za kulevya yaja
SERIKALI imetunga Sheria mpya kali zaidi itakayoondoa changamoto zilizokuwa zikijitokeza wakati wa matumizi ya Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya Namba 9 ya mwaka 1995 inayotumika sasa.
10 years ago
StarTV04 Mar
Tanzania yaipongeza China kudhibiti biashara meno ya Tembo.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa zote zitokanazo na meno ya Tembo kutoka sehemu yoyote duniani kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa kusema hatua hiyo itasaidia kumaliza mauaji ya wanyama hao.
Uamuzi huo wa China unatokana na ushawishi wa Viongozi wa Afrika chini ya Rais Jakaya Kikwete na mataifa washiriki duniani ya Amerika, Ujerumani, Jumuiya ya Ulaya, Uingereza na Serikali ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FhAsdhjjsLg/Xm4Vs6doQcI/AAAAAAALjvE/0tS7TaxcqR8_JN7lj3VXWSyRL1nTZZQeACLcBGAsYHQ/s72-c/3994a4b4-879f-4379-a162-022d57653170.jpg)
IMF YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA KIBIASHARA NA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI
Charles James, Michuzi TV
TANZANIA imepongezwa na Shirika la Fedha duniani (IMF) kutokana na namna ilivyoboresha mazingira ya kibiashara, kudhibiti mfumuko wa bei ambao uko chini ya asilimia tano, ongezeko la mikopo sekta binafsi pamoja na uimara wa kuwa na fedha nyingi za kigeni kulinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki.
Ripoti ya Shirika hilo iliyotolewa Machi mwaka inaeleza kuridhishwa na deni la Taifa ambalo wamelitaja kuwa himilivu na linaifanya Tanzania iendelee kupokea mikopo...
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Tanzania yakamata dawa za kulevya
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Fukwe za Tanzania uchochoro wa dawa za kulevya
10 years ago
MichuziYES Tanzania yaanzisha darasa kwa walioathirika na dawa za kulevya