Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fukwe za Tanzania uchochoro wa dawa za kulevya

>Wakati vita ya kupambana na biashara ya dawa za kulevya ikiendelea nchini, wasafirishaji wa dawa hizo wameanza kutumia fukwe ndogondogo za bahari nchini kuziingiza kutoka Mashariki ya mbali, gazeti hili limebaini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

‘KIA isiwe uchochoro wa dawa za kulevya’

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala ameuagiza uongozi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kuhakikisha uwanja huo hautumiki kichochoro cha kupitisha dawa za kulevya.

 

11 years ago

Michuzi

JK aagiza uchochoro wa kupitisha madawa ya kulevya viwanja vya ndege kilimanjaro na dar es salaam vizibwe

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa akizungumza leo, Alhamisi, Aprili 24, 2014, kabla ya kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam kwenye eneo la Uwanja huo.

 Rais Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks baada ya  kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam kwenye eneo la Uwanja huo.

 Rais Kikwete akipata maelezo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania yakamata dawa za kulevya

Tanzania yakamata zaidi ya kilo 200 ya dawa za kulevya aina ya Heroin

 

5 years ago

Michuzi

UNODC YAIPONGEZA TANZANIA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA

Na. Erick Msuya 
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) kupitia kamisheni ya Kimataifa ya Kudhibiti Dawa za Kulevya limeipongeza Tanzania kwa jitihada madhubuti za kudhibiti na kupambana na tatizo la dawa za kulevya.Kwa mujibu wa taarifa inasema, juhudi hizo  zimeleta matokeo chanya katika mapambano ya dawa za kulevya duniani katika kipindi cha miaka  mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2018 hadi 2020.Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na...

 

10 years ago

Michuzi

YES Tanzania yaanzisha darasa kwa walioathirika na dawa za kulevya

Katibu wa Shirika la YES Tanzania Lusajo Mwamakura akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya mara baada ya kuanza kutolewa elimu kwa vijana hao ambao wengi wao wanatoka katikati ya mji wa Moshi.Mwenyekiti wa Shirika la YES Tanzania,Laurance Mwonyony akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya hawapo pichani.(kulia) kwake ni mweka hazina wa shirika hilo John Mmbando.Baadhi ya vijana walioathirika na dawa za kulevya wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na walimu,(hawapo...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania Yafanikiwa Kupunguza Uingizaji wa Dawa za Kulevya Nchini kwa 90%.

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kupunguza tatizo la dawa za kulevya nchini.

Akizungumza leo jijini Dodoma, katika Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama alisema kuwa tatizo la dawa za kulevya katika jamii ni suala...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

Marekani na Tanzania zazindua Program ya Mbwa Maalum wa kubaini Dawa za kulevya na Pembe za ndovu

Waziri wa Maliasili na Utalii,.Mhe. Lazaro Nyalandu ( katikati) akiwa na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse( wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa kwanza kushoto) wakiwa katika uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu uliofanyika katika Bandari ya Dares Salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza katika uzinduzi wa Program ya Mbwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani