Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Yafanya Vizuri Mfumuko wa Bei - NBS

 Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa taifa umezidi kuimarika kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, 2020 baada ya kubaki palepale kwenye asilimia 3.7 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioshia Januari 2020.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Bi.Ruth Minja alisema kuwa kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioushia mwezi Februari, 2020 imebaki kuwa sawa na kasi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NBS YATOA TAARIFA YA MFUMUKO WA BEI NCHINI

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Agosti, 2014 leo jijini Dar es salaam. Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2014 umeongezeka hadi kufikia asilimia 6.7 kutoka asilimia 6.5 iliyokuwepo mwezi Julai kutokana na kuendelea kupanda kwa bei ya baadhi ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini. Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2

Upungufu  wa chakula kwa baadhi ya mikoa nchini umeendelea kusababisha ongezeko la mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 4.2 hadi asilimia 4.2 ndani ya mwezi mmoja.

 

5 years ago

Michuzi

IMF YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA KIBIASHARA NA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI


Charles James, Michuzi TV

TANZANIA imepongezwa na Shirika la Fedha duniani (IMF) kutokana na namna ilivyoboresha mazingira ya kibiashara, kudhibiti mfumuko wa bei ambao uko chini ya asilimia tano, ongezeko la mikopo sekta binafsi pamoja na uimara wa kuwa na fedha nyingi za kigeni kulinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki.

Ripoti ya Shirika hilo iliyotolewa Machi mwaka inaeleza kuridhishwa na deni la Taifa ambalo wamelitaja kuwa himilivu na linaifanya Tanzania iendelee kupokea mikopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumuko wa bei wafikia 6%

OFISI ya Takwimu imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 5.6 hadi asilimia 6.0 kwa kipindi kilichoishia Desemba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumuko wa bei washuka

Mfumuko wa bei kwamwezi januari  umeshuka hadi kufikia asilimia 4.0 kutoka asilimia 4.8 ya Desemba mwaka jana  kutokana na kupungua kwa bei za bidhaa mbalimbali ikielezwa kwamba kupungua huko kulikuwa hakujatokea kwa miaka miwili iliyopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumuko wa bei wapungua

OFISI ya Takwimu ya Taifa imesema mfumuko wa bei wa Juni umepungua hadi asilimia 6.4 kutoka asilimia 6.5 ilivyokuwa Mei mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumuko wa bei waongezeka

OFOISI ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula nyumbani na migawani umeongezeka Februari hadi asilimia 6.9 ukilinganishwa na asilimia 6.6 Januari mwaka huu. Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani