Mfumuko wa bei washuka
Mfumuko wa bei kwamwezi januari umeshuka hadi kufikia asilimia 4.0 kutoka asilimia 4.8 ya Desemba mwaka jana kutokana na kupungua kwa bei za bidhaa mbalimbali ikielezwa kwamba kupungua huko kulikuwa hakujatokea kwa miaka miwili iliyopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Feb
Umeme washuka bei
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeshusha kidogo bei ya umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu, huku ikisisitiza kwamba bei hiyo itaendelea kupungua zaidi mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam utakapoanza kazi.
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Mfumuko wa bei waongezeka
OFOISI ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula nyumbani na migawani umeongezeka Februari hadi asilimia 6.9 ukilinganishwa na asilimia 6.6 Januari mwaka huu. Akizungumza...
10 years ago
Mtanzania09 May
Mfumuko wa bei wapaa
NA EVANS MAGEGE
WAKATI thamani ya shilingi ikiendelea kuporomoka katika soko la fedha za kimataifa, mfumuko wa bei za bidhaa nao umepaa kutoka asilimia 4.3 hadi 4.5.
Taarifa iliyotolewa jana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa waandishi wa habari ilieleza kuwa mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili mwaka huu umepaa kwa sababu ya ongezeko la bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii,...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Mfumuko wa bei wafikia 6.3%
OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili umeongezeka kwa kiwango cha asilimia 6.3. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Mfumuko wa bei wafikia 6%
OFISI ya Takwimu imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 5.6 hadi asilimia 6.0 kwa kipindi kilichoishia Desemba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Mfumuko wa bei wapungua
OFISI ya Takwimu ya Taifa imesema mfumuko wa bei wa Juni umepungua hadi asilimia 6.4 kutoka asilimia 6.5 ilivyokuwa Mei mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Mfumuko wa bei wapungua nchini
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Mfumuko wa bei waongezeka nchini