MRADI WA TIER 1 KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-DZZ3kG3buiE/UzKKU-EUKmI/AAAAAAAFWdY/GRhS-1R68y8/s72-c/unnamed+(2).jpg)
Mazingira ya biashara nchini yataendelea kuimarika na kuinufaisha nchi na wananchi kwa ujumla iwapo mradi wa Tier 1 utatekelezwa kikamilifu kwa wakati na kwa kuzingatia malengo yanayokusudiwa. Mradi wa TIER 1 ni mradi unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP wenye lengo la la kujenga uwezo wa kuchambua, kushirikisha kuongeza ufanisi wa watendaji wa Serikali katika Sekta ya Viwanda, Biashara na Masoko ili waweze kuboresha Sekta hiyo na kuifanya kutoa mchango mkubwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Mkapa: Kuboresha mazingira ya biashara kutachochea ukuaji uchumi
9 years ago
MichuziBENKI YA DUNIA NA JAPAN (JICA) KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI TANZANIA
JAPANI YAKUBALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA BAJETI YA MAENDELEO KATIKA...
9 years ago
Habarileo09 Sep
TPA yashauriwa kuendelea kuboresha mazingira
MAMLAKA ya Bandari (TPA) imeshauriwa kuboresha mazingira kuweza kupokea kuhifadhi mbolea, kuwezesha kumfikia mkulima kwa urahisi, ikiwa na ubora wake.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wIruOrjZ2Zg/XvY_ngzqL8I/AAAAAAALvnE/VJZc7ndsH_cAXqkOogUfFGXlpUdf9mscgCLcBGAsYHQ/s72-c/1-55-768x512.jpg)
SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UKUSANYAJI TAKWIMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-wIruOrjZ2Zg/XvY_ngzqL8I/AAAAAAALvnE/VJZc7ndsH_cAXqkOogUfFGXlpUdf9mscgCLcBGAsYHQ/s640/1-55-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/2-37-1024x683.jpg)
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Amina Msengwa, wakipokea hati ya kiwanja eneo ambalo Ofisi ya NBS Mkoa wa Kigoma kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Bw. Rashid Mchata,...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Matumaini kwa wafanyabiashara baada ya Serikali kuahidi kuboresha mazingira
11 years ago
MichuziMRADI WA LVEMP II KUBORESHA DAGAA NA FURU,CHATO
Mradi wa kuhifadhi mazingira ya ziwa Victoria awamu ya pili (LVEMP II) Wilayani Chato unategemewa kuboresha ubora wa Dagaa na Furu katika mialo mbalimbali Wilayani hapa.
Mradi huo ambao unasimamia na kuhifadhi mazingira ya ziwa Victoria umeanza kwa kuunda kamati mbalimbali wilayani hapa ambazozinasimamia udhibiti wa Gugumaji, kuhifadhi na kulinda mazalia ya samaki na mradi wa kituo cha kuzalisha wadudu aina ya Mbawakavu ambao hushambulia mmea wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7bnfQ02Gv-Y/VWKpjE1__LI/AAAAAAAC4-c/QNVFJFdWJZg/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Serikali yajipanga kuboresha mazingira rafiki ya hedhi Salama kwa wanafunzi
![](http://3.bp.blogspot.com/-7bnfQ02Gv-Y/VWKpjE1__LI/AAAAAAAC4-c/QNVFJFdWJZg/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Kauli mbiu ya mwaka huu Ikiwa "Usisite Kuzungumzia Hedhi". Wengine kushoto ni Mwandaaji wa maadhimisho hayo...
9 years ago
Dewji Blog21 Aug
Serikali kuboresha zaidi mazingira ya kufanyia shughuli za wajasiriamali mkoani Singida
Meneja mradi wa kuwajengea uwezo wafanyabiashara wadogo,Florentina Sallah, akitoa nasaha zake kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tano yanayohudhuriwa na wafanyabiashara wadogo 150 wa mkoa wa Singida.Wa kwanza kulia ni Mkuu wa mkoa wa Singida,D k.Parseko Kone na anayefuatia ni,Dk.Willhelm Ngasamiaku,mhadhiri wa uchumi idara ya uchumi chuo kikuu cha Dar-es-salaam.
10 years ago
Michuzi01 Sep
Umuhimu wa vipimo na takwimu ili kuboresha biashara
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/n4x7yMgLU_WuApAoK9bF5Yq2cPFbm0XIoN2AOgfUwpUF0LJtf8MDzGFQmWp-eXnjKYUOkufCKVoOmp_KIzBgzr-LYzY9XlLX-N-oot9oz0W-87bPHG4EIwZ59w=s0-d-e1-ft#http://dudumizi.com/images/huduma-bora-za-website-design-tanzania.jpg)
Ingawa ushindani ni mkubwa sanasana, lakini...