Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumaini kwa wafanyabiashara baada ya Serikali kuahidi kuboresha mazingira

Wadau katika sekta ya biashara nchini wamekuwa wakipigania kuwapo kwa mageuzi na uboreshaji mazingira ya kufanya biashara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Serikali yajipanga kuboresha mazingira rafiki ya hedhi Salama kwa wanafunzi

Mratibu wa huduma ya Maji, Afya na Usafi wa mazingira shuleni kutoka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bi Theresia Kuiwite (Katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Hedhi Duniani yatakayofanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania tarehe 28 Mei, yatakayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
Kauli mbiu ya mwaka huu Ikiwa "Usisite Kuzungumzia Hedhi". Wengine kushoto ni Mwandaaji wa maadhimisho hayo...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UKUSANYAJI TAKWIMU


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiweka jiwe la msingi katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mkoa wa Kigoma, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Rashid Mchata.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Amina Msengwa, wakipokea hati ya kiwanja eneo ambalo Ofisi ya NBS Mkoa wa Kigoma kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Bw. Rashid Mchata,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali kuboresha zaidi mazingira ya kufanyia shughuli za wajasiriamali mkoani Singida

DSC01165

Meneja mradi wa kuwajengea uwezo wafanyabiashara wadogo,Florentina Sallah, akitoa nasaha zake kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tano yanayohudhuriwa na wafanyabiashara wadogo 150 wa mkoa wa Singida.Wa kwanza kulia ni Mkuu wa mkoa wa Singida,D k.Parseko Kone na anayefuatia ni,Dk.Willhelm Ngasamiaku,mhadhiri wa uchumi idara ya uchumi chuo kikuu cha Dar-es-salaam.

DSC01178

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone,akizungumza kwenye uzinduzi wa mafunzo ya siku tano yanayohudhuiwa na wafanyabiashara...

 

5 years ago

Michuzi

IMF YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA KIBIASHARA NA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI


Charles James, Michuzi TV

TANZANIA imepongezwa na Shirika la Fedha duniani (IMF) kutokana na namna ilivyoboresha mazingira ya kibiashara, kudhibiti mfumuko wa bei ambao uko chini ya asilimia tano, ongezeko la mikopo sekta binafsi pamoja na uimara wa kuwa na fedha nyingi za kigeni kulinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki.

Ripoti ya Shirika hilo iliyotolewa Machi mwaka inaeleza kuridhishwa na deni la Taifa ambalo wamelitaja kuwa himilivu na linaifanya Tanzania iendelee kupokea mikopo...

 

9 years ago

Michuzi

JKT KUBORESHA MAZINGIRA YA MAFUNZO ILI YAWE NA TIJA ZAIDI KWA WAHITIMU NA TAIFA


Jeshi la kujenga taifa JKT limesema linaendelea na harakati za kuboresha mazingira ya mafunzo kwa vijana wa mujibu wa sheria na wale wa kujitolea ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu na upatikanaji wa vifaa vya mafunzo vinavyojumuisha sare pamoja na viatu ili kuyafanya mafunzo hayo kuwa bora na yenye kuwajenga vijana katika moyo wa uzalendo kwa nchi yao.
Mkuu wa jeshi la kujenga taifa JKT.Meja Jenerali Raphael Muhunga amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya JKT kwa vijana wa mujibu...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuendelea kuboresha huduma kwa wazee nchini

Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid.KUANZISHWA kwa taaluma maalumu za wazee (Geatric Care) katika Chuo Kikuu cha Sayansi Shirikishi cha Muhimbili ni sehemu ya juhudi mbalimbali za serikali za kuboresha huduma kwa wazee.

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua cha kuboresha elimu kwa Serikali ya Dk Magufuli

Kesho kutwa,  Dk John Magufuli ataapishwa kuwa  Rais wa awamu ya tano, akiwa amebeba ahadi nyingi kwa Watanzania ikiwamo ile ya Serikali yake kutoa elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne.

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO BAGAMOYO WAANZA KUTUMIA BANDARI NDOGO BAADA YA KUSUSIA KWA MUDA

NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO

WAFANYABIASHARA ndogondogo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani,wameanza rasmi kazi kwenye bandari ndogo wilayani hapa, baada ya kusimama kwa takribani miezi mitatu.

Hatua hiyo imetokana na Mkuu wa wilaya hiyo Zainab Kawawa kukaa nao pamoja na Maofisa wanaosimamia Bandari hiyo, kufanikiwa kumaliza tofauti hiyo, hatimae kuanza tena shughuli zao.

Akizunguma katika Bandari ndogo wilayani humo, Kawawa alisema kuwa kunyanyaswa kwa wafanyabiashara hao ni sawa na kumnyanyasa...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yadhamiria kuboresha huduma kwa nchi jirani-Mwakyembe

Na Mwandishi wetu, Pwani Serikali imesema imedhamiria kukabiliana kwa vitendo na changamoto ya kutotumia fursa na nafasi ya kijiografia ya nchi ya Tanzania na kuifanya kuwa shindani na hivyo kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe amesema jana mkoani Pwani kuwa hakuna sababu inayoifanya Tanzania isiwe taifa shindani kibiashara katika ukanda huu wa Afrika kutokana na nafasi yake kijiografia miongoni mwa sababu nyingine.
Katika kuonyesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani