BENKI YA DUNIA YAIDHINISHA KUTOA MKOPO WA DOLA ZA KIMAREKEANI MILIONI 500 KWA TANZANIA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
BENKI ya dunia kupitia bodi ya wakurugenzi imeidhinisha kutolewa kwa mkopo wa dola za kimarekani milioni 500 (USD 500) kusaidia sekta ya elimu hasa kwa kuwawezesha vijana wa kitanzania kupata na kumaliza elimu ya Sekondari salama na katika mazingira bora.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki ya dunia imeelezwa kuwa pesa hizo zitawanufaisha wanafunzi milioni sita na nusu wa shule za sekondari kwa kuisaidia Serikali kuanzisha mifumo madhubuti kwa wanafunzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziPROF NDALICHAKO AFUNGUKA MATUMIZI YA DOLA MILIONI 500 ZA BENKI YA DUNIA
Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati akizungumzia mradi huo ambapo amesema pamoja na kujenga miundombinu ya shule mradi huo utatoa mafunzo...
5 years ago
MichuziBENKI YA DUNIA YATOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 175,KULETA MAPINDUZI KATIKA ELIMU YA UFUNDI NCHINI
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo Juni 3, 2020 jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi magari manne kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...
9 years ago
StarTV04 Jan
Watanzania waishio China wadhamiria kutoa misaada ili kuboresha Sekta Mbalimbali zikiwemo Afya na Elimu
Ushirika wa Watanzania wanaoishi nchini China umedhamiria kutoa msaada katika sekta mbalimbali zikiwemo za elimu na afya ili kupunguza changamoto ya vifaa katika hospitali, zahanati na vituo vya afya.
Kupitia taasisi hiyo ya Umoja wa marafiki wa Tanzania na China tayari imetoa udhamini wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma nchini chini kwa kiwango cha Shahada ya Uzamili ambapo kila mwaka wanafunzi 40 wanapata nafasi za kusoma.
Kwa kupitia Taasisi hiyo na serikali ya china imeamua kutoa vitanda...
10 years ago
MichuziSekta ya Elimu yapokea Bil. 203 kutoka Benki ya Dunia
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa kupokea mkopo nafuu wa shilingi bilioni 203 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu katika mpango wake wa matokeo makubwa sasa(BRN).
Mkataba huo umesainiwa na Katibu mkuu wa wizara ya fedha Dk. Servacus Likwelile huku ukiwashirikisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Elinu na Naibu Katibu Mkuu kutoka TAMISEMI leo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo fupi ya kusaini mkataba Katibu Mkuu wa...
9 years ago
MichuziBENKI YA DUNIA: TANZANIA YAONGOZA DUNIANI KUTOA HUDUMA ZA PESA KWA SIMUTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TANZANIA ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa kutumia mawasiliano ya simu, Benki ya Dunia imesema na kuongeza kuwa Tanzania ni moja ya masoko makubwa zaidi duniani ya kutoa huduma ya fedha kwa njia ya simu.
Benki hiyo ya Dunia pia imesema kuwa Serikali ya Tanzania imewekeza kwa kiwango cha juu katika mfumo wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ikilinganishwa na nchi...
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
BENKI YA DUNIA: Tanzania yaongoza Duniani kutoa huduma za Pesa kwa simu za mkononi!
Picha ya Maktaba inavyoonesha namna ya huduma za kifedha zinavyofanyika kutoka simu ya mteja mmoja na kwenda kwa mteja mwingine kwa kutumiana pesa kwa njia hiyo ya simu za Mkononi, ambapo kwa Tanzania imekuwa kinara katika huduma hiyo.
TANZANIA ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa
kutumia mawasiliano ya simu, Benki ya Dunia imesema na kuongeza kuwa Tanzania
ni moja ya masoko makubwa zaidi duniani ya kutoa huduma ya fedha kwa njia...
9 years ago
MichuziBENKI YA DUNIA NA JAPAN (JICA) KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI TANZANIA
JAPANI YAKUBALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA BAJETI YA MAENDELEO KATIKA...
10 years ago
Michuzi5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Virusi vya corona: Waziri wa elimu afukuzwa kazi Madagascar kwa kuagiza pipi za dola milioni 2