BENKI YA DUNIA YATOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 175,KULETA MAPINDUZI KATIKA ELIMU YA UFUNDI NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-BXj2nIAcYKI/XtejlBGtJYI/AAAAAAALsfc/1a0wQ1YR96AsLEbzgHGWP9iNddIKskqrgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B3.56.21%2BPM.jpeg)
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari.
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Benki ya Dunia imetoa mkopo wa Sh. Bilioni 175 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuleta mapinduzi katika vyuo vinne vinavyotoa elimu ya ufundi hapa nchini.
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo Juni 3, 2020 jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi magari manne kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-foX5mXWBZYE/XuxCE-fP53I/AAAAAAAEH5s/7AIG5M1ZJlQEjxEHa79jnQV4FGrvv9r0gCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
Benki ya NMB yatoa mkopo wa Shilingi bilioni 3 kwa wakulima wa muhogo Handeni
![](https://1.bp.blogspot.com/-foX5mXWBZYE/XuxCE-fP53I/AAAAAAAEH5s/7AIG5M1ZJlQEjxEHa79jnQV4FGrvv9r0gCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3VBFmmSqIbU/VDr2r_pvjVI/AAAAAAAGpoU/kazx_JHtPiw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
9 years ago
VijimamboTEA YAIPA TET MKOPO WA SHILINGI BILIONI TATU KUANDAA MITAALA NA KUCHAPISHA VITABU VYA ELIMU YA MSINGI
9 years ago
MichuziTEA YATOA MKOPO WA SH. BILIONI TATU KWA TAASISI YA ELIMU TANZANIA(TIE)
10 years ago
VijimamboBENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
9 years ago
StarTV05 Oct
Matumizi ya TEHAMAÂ kuleta mapinduzi katika elimu
Serikali imewataka wataalamu wa Teknolojia ya Mtandao kufanya upembuzi yakinifu wa matumizi sahihi ya mfumo wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano TEHAMA kwenye shule za msingi nchini, ili kuhakikisha mfumo huo unakua na tija zaidi kwenye utoaji wa elimu.
Mfumo huo unaoaminika kufundishia kwa haraka zaidi, unaweza pia kutumika kama sehemu ya uendelezwaji wa haraka wa mpango wa kukuza stadi za Kusoma ,Kuandika na Kuhesabu , KKK kwa shule za msingi.
Miongoni mwa mambo ambayo yaliyokusidiwa...
5 years ago
MichuziUFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA SH.BILIONI 175.6 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
Na Farida Ramadhani-WFM, Dodoma
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa mkopo huo umesainiwa Jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James kwa upande wa Serikali na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la...
11 years ago
Habarileo19 Jun
Benki ya Dunia yatoa bilioni 74/- kuboresha maji
BODI ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia, imeidhinisha msaada kwa Tanzania zaidi ya Sh bilioni 74 kusaidia upatikanaji wa huduma ya maji safi, salama na maji taka kwa familia masikini za mijini na vijijini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bfi3pz1IPaQ/XoRo9U-BhOI/AAAAAAALlwI/TRZXOIhORDobTgw9AFrNaysiQsL12hXcgCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
BENKI YA DUNIA YAIDHINISHA KUTOA MKOPO WA DOLA ZA KIMAREKEANI MILIONI 500 KWA TANZANIA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-bfi3pz1IPaQ/XoRo9U-BhOI/AAAAAAALlwI/TRZXOIhORDobTgw9AFrNaysiQsL12hXcgCLcBGAsYHQ/s640/index.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
BENKI ya dunia kupitia bodi ya wakurugenzi imeidhinisha kutolewa kwa mkopo wa dola za kimarekani milioni 500 (USD 500) kusaidia sekta ya elimu hasa kwa kuwawezesha vijana wa kitanzania kupata na kumaliza elimu ya Sekondari salama na katika mazingira bora.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki ya dunia imeelezwa kuwa pesa hizo zitawanufaisha wanafunzi milioni sita na nusu wa shule za sekondari kwa kuisaidia Serikali kuanzisha mifumo madhubuti kwa wanafunzi...