Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi ya TEHAMA  kuleta mapinduzi katika elimu

Serikali imewataka wataalamu wa Teknolojia ya Mtandao kufanya upembuzi yakinifu wa matumizi sahihi ya  mfumo wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano TEHAMA kwenye shule za msingi nchini, ili kuhakikisha mfumo huo unakua na tija zaidi kwenye utoaji wa elimu.

Mfumo huo unaoaminika kufundishia kwa haraka zaidi, unaweza pia kutumika kama sehemu ya uendelezwaji wa haraka wa mpango wa kukuza stadi za Kusoma ,Kuandika na Kuhesabu , KKK kwa shule za msingi.

Miongoni mwa mambo ambayo yaliyokusidiwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YATOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 175,KULETA MAPINDUZI KATIKA ELIMU YA UFUNDI NCHINI

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari. WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Benki ya Dunia imetoa mkopo wa  Sh. Bilioni 175 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuleta mapinduzi katika vyuo  vinne vinavyotoa elimu ya ufundi  hapa nchini.
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo Juni 3, 2020  jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi magari manne kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...

 

10 years ago

GPL

ISLAND X ; SINEMA ILIYOTENGENEZWA NA VIJANA WA KITANZANIA NA KULETA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA TASNIA NZIMA‏

TRAILER YA MOVIE HIYO HAPA ANGALIA MOVIE NZIMA HAPA NA UONE JINSI TULIVYO NA NIA YA KULETA MAPINDUZI KATIKA TASNIA HII YA FILAMU  KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU FILAMU ZETU WASILIANA NASI 0712579102.

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA yajizatiti kuleta mapinduzi ya viwanda

NI ukweli usiopingika kuwa hakuna taifa duniani linaloweza kupata mafanikio ya kiuchumi bila kujenga sekta imara ya viwanda. Viwanda ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa kutambua hilo serikali...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif kuleta mapinduzi ya kilimo Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chini ya uongozi wake atahakikisha anamjengea uwezo mkulima, kwa lengo la kumwezesha kuinuka kiuchumi.

 

10 years ago

Michuzi

Christian Bella Kuleta Mapinduzi ya Muziki wa Dance Inchini Tanzania

Mfalme wa Masauti Christian Bella ameachia Track yake mpya Nashindwa Audio pamoja na Video, Audio ya wimbo huo imefanywa chini ya Studio za Combination sound chini ya Producer man Walter na Video imefanyika Africa ya Kusini na director kutoka Bongo Adam Juma, Christian Bella amesema kuwa lengo la kwenda South Africa ilikua ni kufata location tu na pia amesema kuwa madirector wa Bongo wanauwezo mkubwa sana wa kufanya video nzuri kwa sasa isipokuwa hawana connection za TV kubwa za Africa na...

 

9 years ago

Bongo5

Kaeni tayari Sharobaro Records inakuja kuleta mapinduzi — Bob Junior

Mtayarishaji wa muziki na msanii, Bob Junior, amesema ujio wa kazi za wasanii wa label yake ‘Sharobaro Records’ utakuja kuleta mapinduzi katika muziki. Bob Junior ameiambia Bongo5 kuwa, tayari ana wasanii watano ambao anaamini vipaji vyao vitaleta changamoto katika muziki wa Bongo Flava. “Sharobaro Records ni kazi nyingi zinakuja, hasa hasa tuna wasanii 5 ambao […]

 

5 years ago

Michuzi

MKOA WA KATAVI KULETA MAPINDUZI MAKUBWA YA KILIMO KWA MAZAO YA KIBIASHARA NCHINI

 Miche ya zao la korosho ambayo imeonekana kustawi vizuri ambapo kwa kuanza mkoa wamezalisha miche laki sita  na kusambaza kataika maenza mkoa wa Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Komredi Juma Homera 
Zao la pamba ambalo linaonekana kukubali katika ardhi ya katavi na linalotarajia mwaka huu  kuchakatwa Mkoani Katavi
zao la ufuta ambalo ni moja wapo ya zao lililoingia katika mfumo wa stakabadhi ghalani

Na. Josephine mallango 
Mkoa wa Katavi kuleta mapinduzi ya kilimo kwa mazao ya kibiashara nchini ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani: Nimejipanga kuleta mageuzi sekta ya elimu Chalinze

KWA mujibu wa kamusi ya Kiswahilli, neno Ahadi lina maana ya sharti analojipa  mtu kulitimiza; agano,  mapatano. Kutokana na ukweli huo, ndio maana kuna msemo usemao ‘Ahadi ni deni’. Ili...

 

9 years ago

Michuzi

VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani