Kaeni tayari Sharobaro Records inakuja kuleta mapinduzi — Bob Junior
Mtayarishaji wa muziki na msanii, Bob Junior, amesema ujio wa kazi za wasanii wa label yake ‘Sharobaro Records’ utakuja kuleta mapinduzi katika muziki. Bob Junior ameiambia Bongo5 kuwa, tayari ana wasanii watano ambao anaamini vipaji vyao vitaleta changamoto katika muziki wa Bongo Flava. “Sharobaro Records ni kazi nyingi zinakuja, hasa hasa tuna wasanii 5 ambao […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM04 Aug
SHAROBARO RECORDS YATIMIZA MIAKA 8,WAANZILISHI WALIKUWA BOB JUNIOR, ALLY KIBA NA HAKEEM 5
Rais wa Masharobaro Bob Jr, Mr Chocolate Flava alifanya shoo ya maadhimisho ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio hiyo iliyopo Magomeni Mapipa. Kulikua na namba kubwa ya mahudhurio ya mashabiki kutoka kona zote Bongo na kufurahia show kali za wasanii wengi wa sharobaro pamoja na baadhi ya wasanii waliowahi kurekodi katika studio hiyo, Barnaba Boy Classic, alikuwepo, Spince Seseme na Linex Sunday Mjeda.
Baada ya shoo Clouds fm ilikaa na mr Bob Junior akafunguka mengi aliyopitia wakati...
11 years ago
CloudsFM05 Aug
SHAROBARO MUSIC YAMWINGIZIA BOB JR ZAIDI YA MILIONI 300
STAA wa Bongo Fleva,mbaye ni mmliki wa studio ya Sharobaro records,Bob Junior hivi karibuni aliandaa sherehe ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio yake ambayo ilianzishwa chini ya wasanii watatu ambao ni Bob Junior mwenyewe, Ally Kiba na Hakeem 5, kama unakumbuka studio hiyo ilihusika kutengeneza album ya kwanza ya Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz, album ya kwanza ya msanii Top C na studio hiyo pia imetoa wasanii kibao.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Bongo514 Jul
New Music: Bob Junior — Bolingo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUSKr9rQCqVin3qqtUI-HSbNvSo3yEJGu8mcN15oe-QmOYxJeYXVZto86knOCnT1UMEBBLbRHkX2JcUxmVM-aVut/bob.jpg?width=650)
MTOTO AREJESHA NDOA YA BOB JUNIOR
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Bob Junior: Tutaonana baada ya uchaguzi
NA THERESIA GASPER,
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika kampeni za wagombea urais.
“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema
Bob Junior mkali wa wimbo wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FoGbMVzrjR4-L3zSlYTk6hQJNRITD44XM03wHW2Ijtyn2A0-37USIfAzDgnlCCzhXcbNDMnaFJe-GVWELp-ZTuu/sabby1.jpg)
SABBY: BOB JUNIOR AMENIBADILISHA MAVAZI
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Bob Junior: Tutaonana baada ya Oktoba 25
NA THERESIA GASPER,
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika
kampeni za wagombea urais.
“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema
Bob Junior mkali wa wimbo wa...