SHAROBARO MUSIC YAMWINGIZIA BOB JR ZAIDI YA MILIONI 300
STAA wa Bongo Fleva,mbaye ni mmliki wa studio ya Sharobaro records,Bob Junior hivi karibuni aliandaa sherehe ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio yake ambayo ilianzishwa chini ya wasanii watatu ambao ni Bob Junior mwenyewe, Ally Kiba na Hakeem 5, kama unakumbuka studio hiyo ilihusika kutengeneza album ya kwanza ya Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz, album ya kwanza ya msanii Top C na studio hiyo pia imetoa wasanii kibao.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Kaeni tayari Sharobaro Records inakuja kuleta mapinduzi — Bob Junior
11 years ago
CloudsFM04 Aug
SHAROBARO RECORDS YATIMIZA MIAKA 8,WAANZILISHI WALIKUWA BOB JUNIOR, ALLY KIBA NA HAKEEM 5
Rais wa Masharobaro Bob Jr, Mr Chocolate Flava alifanya shoo ya maadhimisho ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio hiyo iliyopo Magomeni Mapipa. Kulikua na namba kubwa ya mahudhurio ya mashabiki kutoka kona zote Bongo na kufurahia show kali za wasanii wengi wa sharobaro pamoja na baadhi ya wasanii waliowahi kurekodi katika studio hiyo, Barnaba Boy Classic, alikuwepo, Spince Seseme na Linex Sunday Mjeda.
Baada ya shoo Clouds fm ilikaa na mr Bob Junior akafunguka mengi aliyopitia wakati...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mcmOHt7yxJ0/VSjI1vqN9qI/AAAAAAAHQQs/svEG3SpNVWI/s72-c/unnamed%2B(41).jpg)
Promosheni ya Jaymillions yaendelea kuongeza mamilionea nchini: Zaidi ya milioni 300/-zimeshanyakuliwa na wateja walioshinda
11 years ago
Bongo514 Jul
New Music: Bob Junior — Bolingo
9 years ago
Bongo511 Sep
Music: Smile Ft. Bob Junior — Naona Raha
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
Ronaldo ana thamani ya pauni milioni 300
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Sunfish hutaga mayai milioni 300 kwa mkupuo
NI nadra kwa samaki aina ya sunfish kuishi katika makundi. Mara nyingi samaki hawa huishi wawili wawili kama si mmoja mmoja. Hata hivyo tofauti ni pale ambapo wanapotafuta namna ya...