SHAROBARO RECORDS YATIMIZA MIAKA 8,WAANZILISHI WALIKUWA BOB JUNIOR, ALLY KIBA NA HAKEEM 5
Rais wa Masharobaro Bob Jr, Mr Chocolate Flava alifanya shoo ya maadhimisho ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio hiyo iliyopo Magomeni Mapipa. Kulikua na namba kubwa ya mahudhurio ya mashabiki kutoka kona zote Bongo na kufurahia show kali za wasanii wengi wa sharobaro pamoja na baadhi ya wasanii waliowahi kurekodi katika studio hiyo, Barnaba Boy Classic, alikuwepo, Spince Seseme na Linex Sunday Mjeda.
Baada ya shoo Clouds fm ilikaa na mr Bob Junior akafunguka mengi aliyopitia wakati...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Kaeni tayari Sharobaro Records inakuja kuleta mapinduzi — Bob Junior
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Ally Kiba: Aeleza mambo matatu yaliyomsimamisha kuimba muziki kwa miaka mitatu
11 years ago
CloudsFM05 Aug
SHAROBARO MUSIC YAMWINGIZIA BOB JR ZAIDI YA MILIONI 300
STAA wa Bongo Fleva,mbaye ni mmliki wa studio ya Sharobaro records,Bob Junior hivi karibuni aliandaa sherehe ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio yake ambayo ilianzishwa chini ya wasanii watatu ambao ni Bob Junior mwenyewe, Ally Kiba na Hakeem 5, kama unakumbuka studio hiyo ilihusika kutengeneza album ya kwanza ya Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz, album ya kwanza ya msanii Top C na studio hiyo pia imetoa wasanii kibao.
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Abdu Kiba: Ally Kiba kaniokoa
NA SHARIFA MMASI
MSANII wa Bongo Fleva nchini, Abdu Kiba, amedai kufanya kazi ya muziki na ndugu wa damu moja, kumemsaidia kutambulika haraka kwenye soko la muziki ndani na nje ya nchi.
Abdu Kiba anayeendelea kutamba na wimbo mpya wa ‘Ayaya’ aliomshirikisha Hellen Magashi ‘Rubby’, amesema ni fahari kwake kwa kuwa kazi yake ya muziki imepokelewa kwa urahisi.
“Kuna faida kubwa sana ya kufanya kazi na ndugu hasa anapokuwa na mashabiki wengi kama ilivyo kwa kaka yangu, Ally Kiba.
“Umaarufu wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Bongo514 Jul
New Music: Bob Junior — Bolingo
10 years ago
GPL15 Aug
10 years ago
CloudsFM15 Jan
BOB JUNIOR, CHAMELEONE KUFANYA KOLABO
Staa wa Bongo Fleva,Bob Junior anatarajia kufanya kolabo na msanii wa kimataifa wa nchini Uganda,Jose Chameleone.