Promosheni ya Jaymillions yaendelea kuongeza mamilionea nchini: Zaidi ya milioni 300/-zimeshanyakuliwa na wateja walioshinda
Watanzania wapatao 44 maisha yao yameweza kubadilika kutoka hali ya kawaida na kuwa mamilionea kutokana na kujishindia fedha taslimu kupitia promosheni ya siku 100 ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambayo ilianza katikati ya mwezi Februari na inatarajia kufikia ukingoni mapema mwezi ujao.Hadi kufikia sasa wateja wa Vodacom walioshinda wamejinyakulia shilingi milioni 278 huku mamilioni mengine ya fedha yakisubiri kunyakuliwa na washindi watakaobahatika katika siku chache...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziPromosheni ya Jaymillions yaendelea kuongeza mamilionea nchini.
10 years ago
MichuziZAIDI YA BILIONI 29 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS
Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi kufikia idadi ya 947 na kutokufanikiwa kupata mshindi wa fedha taslimu na kubakia na idadi ileile ya washindi watano waliojishindia...
10 years ago
MichuziMKULIMA WA KATAVI ALIYEJISHINDIA MILIONI 10 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE, Ni kupitia promosheni ya JayMillions, Bilioni 24.3 zawasubiri wateja
10 years ago
GPLMSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
10 years ago
GPLMSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
10 years ago
GPLWATEJA WA VODACOM CHANGAMKIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS
10 years ago
MichuziBINTI WA MIAKA 22 ASHINDA MILIONI 100 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
10 years ago
Bongo523 Feb
Mshindi wa milioni 1/- kupitia promosheni ya JayMillions akabidhiwa kitita chake
10 years ago
GPLBINTI WA MIAKA 22 ASHINDA MILIONI 100 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM