Mshindi wa milioni 1/- kupitia promosheni ya JayMillions akabidhiwa kitita chake
Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeledeshwa na Vodacom Tanzania amemkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1/- mshindi wa promosheni hiyo Claudia Mapunda ambae ni mkazi wa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla fupi iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
.Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...
10 years ago
GPL
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...
10 years ago
Michuzi
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE.


10 years ago
GPL
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/-James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza ,alizojishindia kupitia promosheni ya Jay Millions inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.… ...
10 years ago
Michuzi.jpg)
MKULIMA WA KATAVI ALIYEJISHINDIA MILIONI 10 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE, Ni kupitia promosheni ya JayMillions, Bilioni 24.3 zawasubiri wateja
Mmoja wa washindi wa milioni 10 kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania – Hynes Petro Kanumba mkazi wa Katavi mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla iliyofanyika mkoani humo. Promosheni ya Jaymillions inayoendelea ikiwa katika wiki ya tatu na ambayo itadumu kwa muda wa siku 100 itaendelea kuleta faraja na mafanikio kwa wateja wa Vodacom kwa kuweza kujinasua katika hali duni ya maisha. Hadi kufikia leo ni Sh. 126m/- pekee zilizokwisha...
10 years ago
GPL
MWANAFUNZI WA SAUT MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH MILIONI 1ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja (kulia) akitoa fedha zake kwa njia ya M-PESA kiasi cha shilingi Milioni 1/-alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania na kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa kampuni hiyo kanda ya ziwa Dominician Mkama (kushoto.…
10 years ago
Michuzi
Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake

10 years ago
GPL
MSHINDI MWINGINE WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika...
10 years ago
Michuzi.jpg)
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA
.jpg)
.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania