Benki ya KCB yakabidhi mashine kupimia wajawazito
KITUO cha Afya cha Makongoro, jijini hapa kimepokea msaada wa mashine ya Ultra Sound na Suction zenye thamani ya Sh milioni 15 kwa ajili ya kupimia wajawazito na wagonjwa wengine.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziLIFEWATER INTERNATIONAL YATOA MSAADA WA MASHINE ZA KUPIMIA SHINIKIZO LA DAMU KUKABILIANA NA CORONA
11 years ago
GPLKCB YAKABIDHI VIFAA VYA HOSPITALI KITUO CHA AFYA KOMBENI
Meneja wa Benki ya KCB, Tawi la Zanzibar, Sahim Abdalla Juma (kulia) akikabidhi vifaa vya Hospitali kwa kituo cha afya cha Kombeni kilichopo wilaya ya Magharibi kwa Daktari wenye dhamana ya wilaya hiyo, Lela Salim Juma, jana.
Meneja wa Benki ya KCB Tawi la Zanzibar, Sahim Abdalla Juma akiongea kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali ya Kituo cha Afya cha Kombeni, kilichopo wilaya ya Magharibi, Zanzibar. Vifaa hivyo...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkyfCv3zf7WqDOBvRiOdwdGzeg2u2lAB22L8MomAsEH2yYNS8Il69oWoh3eOqrQiax8yvPRdHqOflY2e9yL299pE/KCB1.jpg?width=650)
BENKI YA KCB YAJIKITA ZAIDI KUSAIDIA JAMII
Mganga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa, Mawenzi, Dkt. Lwezaula Fredrick(katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa misaada ya vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni 15 kutoka kwa benki ya KCB Tanzania mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro. Wakisikiliza kwa makini ni meneja wa tawi la Moshi benki ya KCB Tanzania, Oforo Erasmo(kushoto), Kaimu katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Alfred...
11 years ago
GPLBENKI YA KCB TANZANIA YAENDELEA KUSAIDIA JAMII
IMG 7855 na IMG 7852: Mganga Mkuu wa Jiji la Mwanza Dk Kokugonza Mugeye(kushoto) akimkabidhi mashine ya ultrasound Daktari Mfawidhi wa kituo cha Afya Makongoro Dk Mkama Magoti Membe katika halfla fupi iliyofanyika katika kituo hicho juzi. Mashine hiyo ni baadhi ya vifaa tiba vilivyotolewa na benki ya KCB katika mpango wake wa kuboresha afya kwa wateja wake kanda ya Ziwa.
Meneja wa Banki KCB Joseph Njile...
11 years ago
GPLBENKI YA KCB TANZANIA YAMWAGA MISAADA JIJINI
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania Moezz Mir (wa pili toka kulia) akimkabidhi msaada wa Mashine ya kupasha moto vifaa vya hospitali kabla ya matumizi na baada ya matumizi kwa mgonjwa (Sterilizer) Mkurugenzi wa Zahanati ya Njia Heath Centre ya Kiwalani jijini Dar es Salaam, Bw. Stephen Mosha (wa pili toka kushoto). Benki hiyo ilitoa msaada wa vifaa mbalimbali vyote vyenye thamani ya shilingi milioni 5, wengine...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s72-c/unnamed+(34).jpg)
HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s1600/unnamed+(34).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yEWLwM7Uvms/U7hIH3tcGvI/AAAAAAAFvMM/3BLMF3LH8Yg/s1600/unnamed+(35).jpg)
11 years ago
GPLHOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akipokea msaada wa kitanda na vifaa tiba mbalimbali kutoka kwa Meneja benki ya KCB Tanzania tawi la arusha Judith Lubuva kwa ajili ya akina mama wenye matatizo ya uzazi wanaotibiwa katika hospitali hiyo.Benki hiyo pia ilitoa msaada wa kitanda kwaajili ya kinamama wakati wa kujifungulia chenye thamani ya zaidi...
11 years ago
GPLMZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, litakalotoa huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania