LIFEWATER INTERNATIONAL YATOA MSAADA WA MASHINE ZA KUPIMIA SHINIKIZO LA DAMU KUKABILIANA NA CORONA
Wa pili Kulia ni Meneja wa Shirika la LifeWater International Mkoa wa Shinyanga, Benety Malima akimkabidhi Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile Mashine za Kupimia Shinikizo la Damu ‘BP Mashine’kwa ajili ya kusaidia kutoa huduma za afya Mkoani Shinyanga ili kukabiliana na homa kali ya mapafu ‘Corona’ leo Jumanne Mei 26,2020..Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wa pili kulia ni Meneja wa Shirika la LifeWater International Mkoa wa Shinyanga, Benety Malima akimkabidhi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSHUWASA YATOA MSAADA WA NDOO 15 ZENYE UJAZO WA LITA 45 KUKABILIANA NA CORONA KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA
Mkurugenzi wa SHUWASA Bi. Flaviana Kifizi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (kushoto) ndoo 15 zenye ujazo wa lita 45 kila moja kwa ajili ya kunawia mikono katika maeneo ya huduma za kijamii ili kukabiliana maambukizi ya Virusi vya Corona (Covid -19)
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imetoa msaada wa ndoo 15 zenye ujazo wa lita 45 kwa ajili ya kutumika kunawia mikono katika maeneo ya...
5 years ago
MichuziAGAPE ACP YATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIANA NA CORONA VIJIJI VYA KATA YA MWAMALA SHINYANGA
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGAPE ACP, John Myola (kushoto) akimkabidhi ndoo ya kunawia mikono Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko. Shirika limetoa msaada wa ndoo 62, sabuni 62 za maji na barakoa 150 kwa ajili ya kusaidia wananchi wa vijiji vya kata ya Mwamala halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Brien Holden Vision yatoa msaada wa vifaa vya kupimia macho Wilaya ya Mkuranga na Kibaha
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute, Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati alipofika katika hospitali ya Wilaya ya Mkuranga kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure. Kulia ni Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa Mkuranga Benjamin Majoya na Mratibu wa Taifa wa Huduma ya Macho Dkt.Nkundwe...
5 years ago
BBCSwahili15 Jun
Virusi vya corona: Dawa ya Covid-19 inayolenga kukabiliana na kuganda kwa damu
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-gJiCE87YYqs3TqZ7K1iJV3rY8xmz*S1X-ALP4SCu6xWT-ClAlPxp7sQ3DT930y6949FQ*HFI2sQIj9K0m4-u5I*XShMkj36/hypertension2.jpg?width=650)
SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)-2
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Uf5Jdma8M33QE3BiTbtw6I9PUKtpOLAdAyROWKtGSmyi6MefqdA1SxtYxmTxt6wOcAbhDdpJ-360um2YalynUk2e8v33fTz2/hypertension2.jpg?width=650)
SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/b8YL1Nsfi8knEY9ia*lIFwT-qa7wEc6w7ZknT-xzJto5FtSZTVJ7ZCXD4BSjLwiZftme35Vx9Xl*f9sIfWVFCtvH8FMXBavb/Dollarphotoclub_35970997.jpg?width=650)
SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION) - 4
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aMLkUWs6eSOFbZulOXpcPP5o6qrwv9ZNbDczN5dqRTZmjzw89xaXpxhyU91Z0N3iqx9GNW4x9RVApX5ictROc1zonGunANdV/oSLEEPHYPERTENSIONfacebook.jpg?width=650)
SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)-3
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA ULINZI YA SGA YATOA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMULIA NA MASHUKA WODI YA WATOTO MWANANYAMALA