Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA ULINZI YA SGA YATOA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMULIA NA MASHUKA WODI YA WATOTO MWANANYAMALA

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ulinzi ya Security Group Africa (SGA), Eric Sambu (kulia) akimkabidhi mshine ya kupumulia na mashuka, Mratibu wa Tiba katika Hospitali ya Mwananyamala, Dk Daniel Nkungu. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki. Katikati yao ni Meneja Mahusiano kwa wateja wa SGA, Sophia Luhikula. Vitu vilivyotolewa msaada Hosipitalini hapo.Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ulinzi ya Security Group Africa (SGA), Eric Sambu (kulia) akimkabidhi mshine ya kupumulia na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CBE YATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.Mkuu wa Chuo cha CBE Prof. Emanuel Amani Mjema akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi msaada wa mashuka uliotolewa na chuo hicho kwa ajili ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi(kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Bw. Salie Mlay kwa kumkabidhi vifaa vya hosipitali vilivyotolewa na benki ya NMB kwa kwa Hospitali ya Mwananyamala .Vifaa hivi vyenye thamani ya shilingi milioni tano vilikabidhiwa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali hiyo. Akishuhudia makabidhiano haya ni Meneja wa NMB Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa. Meneja wa NMB tawi la Msasani Bi. Mary Ngallawa Pamoja...

 

10 years ago

GPL

TIMES FM YATOA MASHUKA 200 HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mkurugenzi Mtendaji wa Radio Times FM, Rehure Nyulawa (kushoto) akisoma hotuba fupi kuhusiana na lengo la kutoa msaada huo kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Sophinias Ngonyani pamoja na wauguzi. Jengo la wodi ya akina mama wajawazito.…

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA POSTA TANZANIA YATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA WODI YA WATOTO WENYE MAGONJWA YA SARATANI MUHIMBILI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi akimkabidhi hundi ya sh. milioni 2 Mkuu wa Idara ya Ustawi ya Jamii Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula kwa ajili ya wagonjwa wa saratani watoto waliolazwa katika hospitali hiyo. Kushoto ni Meneja Mahusiano Mwandamizi TPB, Noves Moses. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi (wa pili kushoto)...

 

10 years ago

Michuzi

DORIS MOLLEL ACHANGIA VIFAA VYA KUPUMULIA KWENYE WODI YA WATOTO NJITI SINGIDA KWA USHIRIKIANO NA MANIFESTER BRAND

Na mwandishi wetu, Singida.
Katika kuianza safari yake ya huduma za jamii kwa mwaka 2015, Redds Miss Kanda ya kati 2014-2015 Doris Mollel ametoa msaada wa mashine 2 za kupumulia kwenye hospitali ya mkoa wa Singida zenye thamani ya Tsh 1,200,000/=. Mashine hizo huwasaidia watoto waliozaliwa kabla ya muda wa kawaida (Pre-mature babies) katika mfumo wao wa upumuaji ambao huhitaji msaada wa juu zaidi mara tu wanapozaliwa.
Doris ambaye pia ni mshindi wa tatu wa Redds Miss Tanzania 2014 ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Kampuni ya TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi

Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya Pasaka. Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya PasakaMeneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund'. Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA EXCEL YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DAR

Kampuni ya EMOC imetoa msaada Kwa watoto yatima katika kituo cha New Life Orphanage Home kilichopo kigogo ambacho ni makao makuu ya kituo cha watoto yatima. New Life Orphanage Home ni kituo ambacho kimejitolea kulea watoto yatima wasiojiweza tangu mwaka 1998.
New Life Orphanage Home kilianzishwa Magomeni mwaka 1998 Kwa lengo la kusaidia watoto yatima, na kilianza na watoto 18 tu. New Life Orphanage Home kimefanikiwa kufungua kituo kikubwa zaidi Kigogo iliopo wilaya ya Kinondoni na kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF yatoa msaada wa mashuka Hospitali ya Vijibweni

 Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu Dk. Frank Lekey akikabidhi mashuka kwa Muuguzi wa Hospitali ya Vijibweni Maimuna Mwaya. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekabidhi jumla ya mashuka 150 katika Hospitali hiyo ambayo iilikuwa na uhaba mkubwa wa mashuka. Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akitandika kitanda kwa shula la NHIF ambalo ni moja ya mashuka yaliyokabidhiwa hospitalini hapo.  Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akielezea huduma zinazotolewa hospitalini hapo na kuushukuru Mfuko kwa msaada wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani