Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)

WIKI hii tutazungumzia ugonjwa wa shinikizo la damu, au ambao wengi huuita presha na kitaalam huitwa Hypertension au High Blood Pressure.  Ieleweke kuwa shinikizo la damu ni muhimu kwa ajili ya kusukuma damu katika sehemu zote za mwili, lakini shinikizo la damu la juu huweza kuleta matatizo na madhara makubwa kwa mwanadamu. Shinikizo la damu kwa kawaida husababishwa na kuongezeka msukumo wa damu katika kuta za mishipa ya damu,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION) - 4

Leo nitaelezea mambo yanayosababisha shinikizo la damu ili uyafahamu na matibabu yake.Kama shinikizo lako la damu liko juu, ni muhimu kumuona daktari ili ufanyiwe uchunguzi wa kiafya. Kipimo kimoja cha shinikizo la damu hakimaanishi kupatikana au kuugua ugonjwa huo, inabidi upimwe zaidi ya mara mbili. Pima kwa kifaa maalum cha kupimia shinikizo la damu kinachoitwa Sphygmomanometer angalau mara tatu tofauti kwa wiki ili...

 

9 years ago

GPL

SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)-2

Shinikizo la damu limegawanyika katika makundi mawili, aina ya kwanza ambalo kitaalam huitwa Primary au Essential Hypertension. Aina hii ya shinikizo la damu huwapata asilimia 90 hadi 95 ya wagonjwa, huku sababu zikiwa hazijulikani suala linalomaanisha kuwa wagonjwa huwa hawana sababu za wazi zinazosababisha tatizo hilo. Kesi zinazobakia za shinikizo la damu ambazo ni asilimia 5-10 za wagonjwa husababishwa na shinikizo la damu...

 

9 years ago

GPL

SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)-3

Leo nitaelezea mambo yanayosababisha shinikizo la damu ili uyafahamu na kujihadhari nayo.SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)-3 MBO hayo ni uvutaji sigara, unene (visceral obesity) yaani unene wa sehemu za tumbo, unywaji pombe, upungufu wa madini ya potassium, upungufu wa vitamin D, kurithi, umri mkubwa, chumvi na madini ya sodium kwa ujumla, ongezeko la kemikali kwenye figo (renin) na kushindwa kufanya kazi kichocheo cha Insulin....

 

9 years ago

Michuzi

KESHO NI SIKU YA MOYO DUNIANI:WANANCHI KUPIMWA SHINIKIZO LA DAMU BURE



 Daktari Bingwa wa magonwa ya moyo, Dk Tulizo Shemu (kulia) wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza na waandishi wa habari katika taasisi hiyo kuhusu siku ya afya ya moyo duniani ambayo inafanyika Septemba 29, kila mwaka. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo nchini, Dk Tatizo Wane (kulia) wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza na waandishi wa habari katika taasisi hiyo kuhusu siku ya...

 

5 years ago

Michuzi

LIFEWATER INTERNATIONAL YATOA MSAADA WA MASHINE ZA KUPIMIA SHINIKIZO LA DAMU KUKABILIANA NA CORONA



Wa pili Kulia ni Meneja wa Shirika la LifeWater International Mkoa wa Shinyanga, Benety Malima akimkabidhi Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile Mashine za Kupimia Shinikizo la Damu ‘BP Mashine’kwa ajili ya kusaidia kutoa huduma za afya Mkoani Shinyanga ili kukabiliana na homa kali ya mapafu ‘Corona’ leo Jumanne Mei 26,2020..Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blogWa pili kulia ni Meneja wa Shirika la LifeWater International Mkoa wa Shinyanga, Benety Malima akimkabidhi...

 

11 years ago

GPL

MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA

Bango kwa ajili ya uhamasichaji wa uchangiaji damu.
Hapa ni kwa aajili ya kupimwa presha, ushauri na kutolewa damu.
Hatua ya kwanza kwa mchangia damu.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani

01

Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.

02

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy  Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...

 

5 years ago

Michuzi

AZAM FC, TFF KUADHIMISHA SIKU YA UTOAJI DAMU DUNIANI KWA KUCHANGIA DAMU

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKUELEKEA siku ya utoaji damu duniani Juni 14 kila mwaka, Klabu ya Azam imeungana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuadhimisha siku hiyo muhimu.
Zoezi hilo la uchangiaji damu linatarajiwa kufanyika nje ya Uwanja wa Azam Complex kuanzia majira ya saa 6 mchana.
Juni 14, Azam itakuwa ikicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbao saa 1.00 usiku na kuhusisha watu wa aina mbalimbali.
Zoezi hilo la uchangiaji damu na kudumisha shirikiano huo...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014

 Mtaalam wa kutoa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu Meneja Mwandamizi Tawi la Samora la Benki ya Exim Nancy Huggins, ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani inayofanyika kila mwaka ifikapo Juni 14  Mtaalam wa kutoa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu Afisa wa Benki ya Exim Daniel Lukuba, ikiwa ni maadhimisho ya Siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani