Sera kuwezesha wanafunzi wajawazito yaja
SERIKALI imesema iko mbioni kuzindua sera ya elimu itakayoruhusu wasichana kuendelea na masomo pindi wanapokuwa wamepata ujauzito na kujifungua ili kuhakikisha kila mmoja anapata haki sawa ya elimu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Sera ya Taifa ya Magereza yaja
JESHI la Magereza nchini liko katika hatua ya mwisho kukamilisha Sera ya Taifa ya Magereza ili kuleta ufanisi katika utendaji na uboreshaji huduma zitolewazo ndani ya magereza. Kauli hiyo ilitolewa...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
NCAA yaja na sera ya Ukimwi kazini
10 years ago
Habarileo07 Dec
DC awaokoa wanafunzi wajawazito
BAADHI ya wanafunzi walioacha masomo, baada ya kupata ujauzito wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameelezea kujutia makosa hayo na kumuomba Mkuu wa Wilaya kuwasaidia warudi shuleni.
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Benki ya dunia yaitaka Tanzania kutowabagua wanafunzi wajawazito
10 years ago
Habarileo16 May
Aagiza halmashauri kuwezesha hatimiliki
HALMASHAURI zote nchini zimetakiwa kutenga fedha katika bajeti zake kwa ajili ya kutoa Hatimiliki za kimila kwa wananchi.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8tc9UP_gYEg/U76rJhSbrdI/AAAAAAAF0hw/302Txoi9muk/s72-c/unnamed+(17).jpg)
M-pesa kuwezesha uwekezaji UTT
![](http://1.bp.blogspot.com/-8tc9UP_gYEg/U76rJhSbrdI/AAAAAAAF0hw/302Txoi9muk/s1600/unnamed+(17).jpg)
10 years ago
Habarileo15 Mar
Kliniki kuwezesha afya tele
WAJAWAZITO mkoani T a b o r a wameaswa k u a n z a huduma za kliniki mapema sana ili kuepuka madhara ya uzazi na kutunza ujauzito wao vizuri kupitia huduma za afya ya uzazi kwa mama na mtoto zinazotolewa katika vituo mbalimbali vya afya.
11 years ago
Habarileo21 Mar
NSSF kuwezesha mitaji kupitia ushirika
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii ( NSSF) unatarajia kuanza kutoa mikopo kwa wakulima, wachimbaji wadogo wa madini, wavuvi na wafugaji kupitia vyama vyao vya ushirika wa akiba.