Sera ya Taifa ya Magereza yaja
JESHI la Magereza nchini liko katika hatua ya mwisho kukamilisha Sera ya Taifa ya Magereza ili kuleta ufanisi katika utendaji na uboreshaji huduma zitolewazo ndani ya magereza. Kauli hiyo ilitolewa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA WADAU WA KUPOKEA MAONI JUU YA SERA YA TAIFA YA MAGEREZA WAMALIZIKA WILAYANI BAGAMOYO, KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APONGEZWA KWA KUFANIKISHA RASIMU HIYO
10 years ago
MichuziMKUTANO WA WADAU WA KUPOKEA MAONI JUU YA SERA YA TAIFA YA MAGEREZA WAMALIZIKA WILAYANI BAGAMOYO
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja amepongezwa na Wadau mbalimbali nchini kwa kufanikisha kuandaa na kukamilisha rasimu ya Sera ya Taifa ya Magereza ambapo Wadau kutoka nje ya Jeshi la Magereza wamepata fursa ya kujadili kwa siku mbili Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani.
Pongezi hizo wamezitoa kwa nyakati tofauti mjini Bagamoyo katika Mkutano wa siku mbili wa Wadau wa kupokea maoni juu ya rasimu ya Sera ya Taifa ya Magereza uliofunguliwa rasmi na...
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA KUPOKEA MAONI YA WADAU KUHUSU SERA YA TAIFA YA JESHI LA MAGEREZA KATIKA HOTELI YA LIVINGSTONE - BAGAMOYO
11 years ago
Mwananchi18 Dec
NCAA yaja na sera ya Ukimwi kazini
10 years ago
Habarileo31 Jan
Sera kuwezesha wanafunzi wajawazito yaja
SERIKALI imesema iko mbioni kuzindua sera ya elimu itakayoruhusu wasichana kuendelea na masomo pindi wanapokuwa wamepata ujauzito na kujifungua ili kuhakikisha kila mmoja anapata haki sawa ya elimu.
10 years ago
Habarileo06 Nov
Jeshi la Magereza laandaa sera yake
JESHI la Magereza nchini linaandaa Sera yake ya Taifa ili kuleta ufanisi katika utendaji kazi na pia kuboresha huduma zake kwa askari wake na wafungwa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_fb0ohBDGvU/Xq_39J1iJVI/AAAAAAALpBo/lbkuGvYHPrIVQfhIzt-m35H_kaxA7A--ACLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1AA-768x529.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-_fb0ohBDGvU/Xq_39J1iJVI/AAAAAAALpBo/lbkuGvYHPrIVQfhIzt-m35H_kaxA7A--ACLcBGAsYHQ/s640/PIX-1AA-768x529.jpg)
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020 katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-2AA-1024x506.jpg)
10 years ago
VijimamboWadau wajadili sera ya Taifa ya Mtangamano ya Afrika Mashariki