NCAA yaja na sera ya Ukimwi kazini
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,(NCAA), imesema haiwezi kufanikisha biashara ya utalii katika viwango vinavyotakiwa iwapo wafanyakazi hawatakuwa na afya bora.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Sera ya Taifa ya Magereza yaja
JESHI la Magereza nchini liko katika hatua ya mwisho kukamilisha Sera ya Taifa ya Magereza ili kuleta ufanisi katika utendaji na uboreshaji huduma zitolewazo ndani ya magereza. Kauli hiyo ilitolewa...
10 years ago
Habarileo31 Jan
Sera kuwezesha wanafunzi wajawazito yaja
SERIKALI imesema iko mbioni kuzindua sera ya elimu itakayoruhusu wasichana kuendelea na masomo pindi wanapokuwa wamepata ujauzito na kujifungua ili kuhakikisha kila mmoja anapata haki sawa ya elimu.
10 years ago
Habarileo16 Mar
UNESCO, NCAA kuendeleza utalii
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), wameendesha kongamano la siku nne mjini hapa kuangalia mkakati mpya wa kuendeleza utalii kama kitovu cha mapato katika Hifadhi ya Ngorongoro.
9 years ago
TheCitizen14 Sep
Seek more tourist attractions, JK tells NCAA
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
NCAA, UNESCO waangalia utalii endelevu Ngorongoro
Mkufunzi ambaye pia ni mtaalamu mshauri wa Unesco, katika masuala ya utalii endelevu, James Banks akiendesha mafunzo kwenye warsha ya siku nne ya kutengeneza mkakati wa utalii endelevu hifadhi ya Ngorongoro iliyomalizika mwishoni mwa wiki mji mdogo wa Karatu, mkoani Arusha na kuandaliwa na Shirika la UNESCO kwa kushirikiana na Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA). Pichani chini kulia ni Mmoja wa wakufunzi wa warsha hiyo, Tamim Amijee.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na...
9 years ago
TheCitizen07 Sep
New spending curbs to hit Tanapa, NCAA hard
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Malipo ya kadi maalumu yaongeza mapato NCAA
9 years ago
Mwananchi07 Nov
NCAA yafundisha ufyatuaji matofali kwa mashine
5 years ago
MichuziWaziri Kigwangalla ashuhudia uvishwaji vyeo kwa Menejimenti ya NCAA.
Na Mwandishi wetu-NCAA
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshuhudia uvishwaji vyeo kwa menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ikiwa ni utekelezaji wa sheria kwa taasisi zilizoko chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kujiendesha kijeshi katika usimamizi wa Rasilimali za wanyamapori.
Katika sherehe hiyo wajumbe 15 wa menejimenti ya Ngorongoro walivishwa vyeo ambapo idadi hiyo inajumuisha Naibu Makamishna wa uhifadhi wawili na Makamishna wasaidizi...