Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malipo ya kadi maalumu yaongeza mapato NCAA

Mapato ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yameongezeka kutoka Sh27 bilioni mwaka 2004 hadi Sh55.809 bilioni mwaka jana, baada ya kuanzishwa kwa matumizi ya smart card katika malipo ya kuingia kwenye hifadhi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MATUMIZI YA TEHAMA SERIKALINI YAONGEZA UFANISI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO

Na.Aron Msigwa - MAELEZO,ARUSHA
Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali yamepunguza upotevu wa mapato uliokuwa ukisababishwa na watendaji wasio waaminifu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Arusha na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adorf Mapunda wakati akifunga awamu ya kwanza ya mkutano wa mwaka wa Serikali Mtandao uliowahusisha maafisa TEHAMA,Rasilimali watu,Utawala na Maafisa Habari kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Amesema mabadiliko...

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHARI YA MJI KONDOA YAONGEZA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA ASILIMIA 135


HATIMAYE Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kondoa limekamilisha rasmi kikao cha kawaida cha robo ya nne baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka mitano tangu lilipoingia madarakani mwezi Oktoba 2015 na kufanikiwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka  shilingi milioni 400 kwa mwaka 2016/2017 hadi kufikia shilingi bilioni 1.6 mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la zaidi ya  asilimia 135.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa, Msoleni Dakawa katika...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi


11Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya  Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo mahali popote. kwa sasa huduma hii imeanza...

 

10 years ago

Michuzi

NMB kutoa Kadi Milioni 1.5 za Malipo za MasterCard nchini Tanzania

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Bw.Mark Weissing akiongea na wana habari kuhusu makubaliano kati ya NMB na Master Card katika hafla fupi ya kuweka saini makubaliano hayo. Daniel Monehin, Rais wa Kitengo, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara wa MasterCardalisema (kulia) na Bw.Mark Weissing, Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB wakieka saini makubaliano.
MasterCard na National Microfinance Bank(NMB), benki kubwa zaidi Tanzania,leo wametangaza makubaliano ya kutoa kadi milioni 1.5 za malipo za MasterCard...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA KADI‏

Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya  Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC

Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini Dk Martini Shao akiwa na mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB pamoja na kaimu mkurugenzi wa hosptali ya KCMC .Prof Raimosi Ollomi wakati akizindua tawi dogo la Benki ya CRDB. Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB,Dk Charles Kimei akimuelekeza jambo Askofu Dk Martin Shao kabla ya uzinduzi wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi. Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini,Dk Martin...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgawanyo wa mapato watikisa Bunge Maalumu

>Hoja kuhusu mgawanyo wa mapato ya muungano imeendelea kulitikisa Bunge Maalumu la Katiba na jana watendaji wakuu wa wizara za fedha wa muungano na Zanzibar pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu walitua Dodoma kuweka mambo sawa.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kampeni maalumu kuhamasisha matumizi ya kadi zake mpya za ‘Faida’.

BENKI ya EximTanzania imezindua kampeni inayolenga kuwahamasisha wateja wake juu ya matumizi ya kadi zake mpya za  ‘Faida Chip and PIN Debit card’ ambazo zimeundwa  kwa kuzingatia vigezo vya kiusalama zaidi.
Kwa mujibu wa Meneja Bidhaa wa benki hiyo Bw. Aloyce Maro hatua hiyo ni sehemu ya jitiahada za benki hiyo kuhakikisha kwamba huduma zake zinatolewa kwa uhakika na usalama zaidi kwa faida ya wateja wake.
“Lengo kubwa la kampeni hii ni kuwahamasisha wateja wetu juu ya matumizi ya kadi zetu...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA KADI YA MALIPO YA AIRTEL MONEY "TAP TAP"

AIRTEL Tanzania yazindua kadi ya malipo ya 'Airtel Money Tap Tap' •         Airtel yawa kampuni ya kwanza kutoa huduma ya kufanyamalipo kwa kupitia kadi inayouunganishwa na akaunti ya Airtel Money yamteja Dar es Salaam, Jumatatu 12 Octoba 2015,  Airtel Tanzania leoimezindua  huduma ya kwanza , ya kipekee na kibunifu yenye technologiaya kisasa ijulikanayo kama “Tap Tap”  itakayomuwezesha mtumiaji wahuduma ya Airtel Money kufanya malipo kwa njia rahisi na,salamakupitia kadi hiyo.
Huduma hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani