Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNESCO, NCAA kuendeleza utalii

 Zulmira RodriguesSHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), wameendesha kongamano la siku nne mjini hapa kuangalia mkakati mpya wa kuendeleza utalii kama kitovu cha mapato katika Hifadhi ya Ngorongoro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NCAA, UNESCO waangalia utalii endelevu Ngorongoro

DSC_0015

Mkufunzi ambaye pia ni mtaalamu mshauri wa Unesco, katika masuala ya utalii endelevu, James Banks akiendesha mafunzo kwenye warsha ya siku nne ya kutengeneza mkakati wa utalii endelevu hifadhi ya Ngorongoro iliyomalizika mwishoni mwa wiki mji mdogo wa Karatu, mkoani Arusha na kuandaliwa na Shirika la UNESCO kwa kushirikiana na Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA). Pichani chini kulia ni Mmoja wa wakufunzi wa warsha hiyo, Tamim Amijee.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na...

 

5 years ago

Michuzi

NCAA YAZINDUA MFUMO WA UTALII MTANDAO KUWAUNGANISHA WADAU MBALIMBALI DUNIANI.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda akiongea na Menejimenti ya NCAA wakati wa uzinduzi wa mfumo wa Utalii kwa Njia ya Mtandao (Tourism Web Camera) katika Ofisi za Mamlaka hiyo.
Sehemu ya wajumbe wa Menejimenti ya NCAA wakifuatilia uzinduzi huo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (wa pili kulia) akizungumza na Kamishna wa Uhifadhi NCAA Dkt Freddy Manongi (kushoto) na Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Prof. Dos...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNESCO kuendeleza utamaduni wa kuzisaidia redio jamii

IMG_4940

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Utawala na Fedha), Bw. Liberat Mfumukeko alipowasili katika chumba maalum cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ufunguzi wa kongamano la siku tatu la Mtandao wa Redio za Jamii katika nchi za Afrika Mashariki (EACOMNET) linalolenga kujadili namna ya kuziwezesha redio hizo...

 

11 years ago

Michuzi

JUHUDI ZA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUENDELEZA UTALII WA MAPOROMOKO YA KALAMBO (KALAMBO FALLS) ZAENDELEA

Kaimu Afisa Ardhi na Maliasili Wilaya ya Kalambo Ndugu Makwasa Biswalo (katikati) akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya eneo lililopimwa katika kijiji cha Kapozwa kwa ajili ya kuendeleza Utalii katika Kijiji hicho ambacho kina maporomoko ya mto Kalambo (Kalambo Falls), maporomoko ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika yakiwa na urefu wa mita 235. 
Zipo jitihada kadhaa zilizokwishafanywa na uongozi wa Mkoa wa Rukwa ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Eng. Stella Manyanya katika...

 

9 years ago

TheCitizen

Seek more tourist attractions, JK tells NCAA

President Jakaya Kikwete said he would like to see the Ngorongoro Conservation Area Authority investing in research of new tourist sites within the 600-feet-deep crater instead of concentrating on wildlife animals alone.

 

11 years ago

Mwananchi

NCAA yaja na sera ya Ukimwi kazini

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,(NCAA), imesema haiwezi kufanikisha biashara ya utalii katika viwango vinavyotakiwa iwapo wafanyakazi hawatakuwa na afya bora.

 

10 years ago

Michuzi

wizara ya MALIASILI NA UTALII YAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

IMG-20140704-WA0013Waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu akifungua rasmi mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO jijini Arusha hivi karibuni. IMG-20140704-WA0009Wadau mbalimbali wa utalii wakisikiliza mada kwa umakiniIMG-20140704-WA0004MAKAMPUNI ya kitalii hapa nchii yametakiwa kuutangaza kwa kiasi kikubwa utalii wa vivutio vyetu hapa nchini  ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi ili kuwapa wanachi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio walivyo navyo. Hayo yalisemwa juzi jijini Arusha na waziri...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Moshi Club kwa ajili ya kufungua rasmi maonesho ya kimatifa ya Kitalii yajulikanayo kama KiliFair 2015.Naibu waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akisalimiana na Naibu waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo wa Zanzabar Bi Hindi Khamis walipokutana katika maonesho hayo.Mgeni rasmi katika maonesho hayo,Naibu waziri wa utalii,Mohamed Mgimwa akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani