Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NCAA YAZINDUA MFUMO WA UTALII MTANDAO KUWAUNGANISHA WADAU MBALIMBALI DUNIANI.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda akiongea na Menejimenti ya NCAA wakati wa uzinduzi wa mfumo wa Utalii kwa Njia ya Mtandao (Tourism Web Camera) katika Ofisi za Mamlaka hiyo.
Sehemu ya wajumbe wa Menejimenti ya NCAA wakifuatilia uzinduzi huo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (wa pili kulia) akizungumza na Kamishna wa Uhifadhi NCAA Dkt Freddy Manongi (kushoto) na Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Prof. Dos...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA YONO AUCTION MART YAZINDUA MFUMO WA MNADA MTANDAONI KWA AJILI YA WAUZAJI, WANUNUZI BIDHAA MBALIMBALI

Mkurugenzi wa Yono Auction Mart Scolastica Kevela akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akizindua mfumo wa mnada mtandaoni. Mtalaam wa mifumo wa Kampuni ya Yono Auction Mart Jordan Mwaisango akielezea namna mfumo wa mnada mtandaoni unavyofanya kazi na hasa jinsi wanunuzi na wauzaji wanavyoweza kuutumia
Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii


KAMPUNI ya udalali ya Yono Auction Mart imezindua mfumo wa mnada mtandao ambao ni maalum kwa ajili ya kuwawezesha ...

 

10 years ago

Habarileo

UNESCO, NCAA kuendeleza utalii

 Zulmira RodriguesSHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), wameendesha kongamano la siku nne mjini hapa kuangalia mkakati mpya wa kuendeleza utalii kama kitovu cha mapato katika Hifadhi ya Ngorongoro.

 

10 years ago

Dewji Blog

NCAA, UNESCO waangalia utalii endelevu Ngorongoro

DSC_0015

Mkufunzi ambaye pia ni mtaalamu mshauri wa Unesco, katika masuala ya utalii endelevu, James Banks akiendesha mafunzo kwenye warsha ya siku nne ya kutengeneza mkakati wa utalii endelevu hifadhi ya Ngorongoro iliyomalizika mwishoni mwa wiki mji mdogo wa Karatu, mkoani Arusha na kuandaliwa na Shirika la UNESCO kwa kushirikiana na Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA). Pichani chini kulia ni Mmoja wa wakufunzi wa warsha hiyo, Tamim Amijee.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AZINDUA MFUMO WA KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA WANUNUZI WA MAZAO (MOBILE KILIMO)

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa mfumo wa kutoa huduma za masoko na huduma za ugani kwa njia ya mtandao (M-Kilimo) Jijini Dodoma, Leo tarehe 18  Mei 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe (Mb) akionyesha kipeperushi wakati wa uzinduzi wa mfumo wa kutoa huduma za masoko na huduma za ugani kwa njia ya mtandao (M-Kilimo) Jijini Dodoma, Leo tarehe 18  Mei 2020. Wengine Pichani ni Waziri wa Kilimo Mhe...

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Airtel kuwaunganisha wadau katika kusaidia shule ya msingi Kumbukumbu-Dar

 ·         Wafanyakazi wa Airtel kutembea ili kukusanya jumla ya zaidi ya milioni 10.·         Wafanyakazi wa Airtel kukarabati darasa na kununa madawati shule ya kumbukumbu.
Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mpango wake maalumu wa “Airtel tunakujali” imeandaa matembezi ya hisani huku ikialika wadau wote wenye wito wa kuchangia elimu kuungamkono jitiada hizo ili kukamilisha lengo la kuikarabati shule ya msingi kumbukumbu iliyopo kinondoni jijini Dar es...

 

9 years ago

Dewji Blog

HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii

__800x800_51d3b4b77dc78

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.

Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...

 

5 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA SAUT NA KAMPUNI YA REAL PR SOLUTIONS WASAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA PAMOJA MPANGO WA MAFUNZO KWA WADAU WA UTALII UJULIKANAO “UTALII MPYA WAKATI NA BAADA YA CORONA" .

Programu ya mafunzo ya kuhusu namna bora ya kuendesha, kukuza na kutambua fursa zilizopo kwenye sekta ya utalii hapa nchini inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni jijini  Mwanza.
Zaidi, mafunzo hayo yanalenga pia kuandaa wadau wa utalii hapa nchini ili waweze kutoa huduma zao kwa weledi huku wakizingatia kanuni za kiafya pindi sekta hiyo itakapoimarika baada ya kuathirika kwa kiasi kikubwa  kutokana na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID0-19) unaosababishwa na virus vya corona ambalo...

 

9 years ago

Mwananchi

Wizi wa mtandao nchini watikisa sekta ya utalii

Wizi na utapeli kwa njia ya mtandao, umeanza kuitikisa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha baada ya wahalifu wa kimataifa kuingilia mawasiliano ya baruapepe (emails) za mawakala wa utalii.

 

5 years ago

BBCSwahili

China yazindua mfumo wa kutambua unyanyasaji

Mji wa Yiwu nchini China umeanzisha mfumo utakaowezesha watu kufahamu kiwa wapenzi wao wana historia ya unyanyasaji kabla ya kufunga ndoa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani