KAMPUNI YA YONO AUCTION MART YAZINDUA MFUMO WA MNADA MTANDAONI KWA AJILI YA WAUZAJI, WANUNUZI BIDHAA MBALIMBALI
Mkurugenzi wa Yono Auction Mart Scolastica Kevela akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akizindua mfumo wa mnada mtandaoni. Mtalaam wa mifumo wa Kampuni ya Yono Auction Mart Jordan Mwaisango akielezea namna mfumo wa mnada mtandaoni unavyofanya kazi na hasa jinsi wanunuzi na wauzaji wanavyoweza kuutumia
Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii
KAMPUNI ya udalali ya Yono Auction Mart imezindua mfumo wa mnada mtandao ambao ni maalum kwa ajili ya kuwawezesha ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMSAMA AUCTION MART KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI WAKAMATA VIFAA MBALIMBALI VYA KUDURUFU KAZI ZA WASANII
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), wino unaotumika kunakshia makasha ya CD feki wanazozitengeneza
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,...
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Msama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wakamata vifaa mbalimbali vya Kkdurufu kazi za wasanii
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), moja kati ya mashine 4 za kurudufu CD feki zilizokamatwa katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Ofisa wa Polisi, D/SSGT Daniel Gingo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), wino unaotumika kunakshia makasha ya CD feki wanazozitengeneza.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama...
10 years ago
GPLMSAMA AUCTION MART KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI WAKAMATA VIFAA MBALIMBALI VYA KUDURUFU KAZI ZA WASANII
11 years ago
MichuziKampuni ya Chemicotex yaja na bidhaa ya Tressa kwa ajili kuboresha urembo wa nywele za Mtanzania
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Tambaza Auction Mart yalalamikiwa
DHULUMA na ubabe unaodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa Kampuni ya udalali ya Tambaza Auction Mart ya jijini Dar es Salaam, umelalamikiwa na baadhi ya wamiliki wa magari, hususan malori. Baadhi...
10 years ago
MichuziUNUNUAJI NA UUZAJI WA BIDHAA UMERAHISISHWA — KAMPUNI YA MASOKO KWA NJIA YA MTANDAO YAZINDUA “APP” YA SIMU ZA MKONONI TANZANIA
Mchakato wa uuzaji na ununuaji wa bidhaa umerahisishwa sana kwa kadri waendashaji wa makampuni ya biashara kwa njia ya intaneti wanavyozidi kuwa wabunifu na wagunduzi zaidi. Kaymu Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kuuza na kununua vitu kwa njia ya mtandao imejitanua zaidi baada ya kuzindua app (programu ya simu) yake Septemba 2014.Kaymu Tanzania imezindua huduma zake za kwanza za programu ya simu nchini, hivyo kuwawezesha watumiaji wa Android kufanya manunuzi ya bidhaa na kuweka oda moja kwa...
10 years ago
RC13 Dec
Scrap auction mart parking services
IPPmedia
Scrap auction mart parking services - RC
IPPmedia
Dar es Salaam Regional Commissioner Said Meck Sadiki has ordered the city's municipal councils to scrap parking services operations by Mwamkinga, Yono and Tambaza auction marts, saying the practice was causing intolerable chaos to road users.
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Nani wa kulaumiwa ubabe wa Tambaza Auction Mart?
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam inastahili kubebeshwa lawama kuhusu dhuluma na ubabe wa wafanyakazi wa Kampuni ya udalali ya Tambaza Auction Mart, wanaolalamikiwa na wamiliki wa magari, hususan...
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
Cheki.co.tz tovuti ya wauzaji na wanunuzi wa magari kushehereka mwaka mmoja
Meneja masoko wa Cheki Tanzania Limited Mori Bencus (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investments, Bw. Ally Nchahaga ambao ni waandaaji kwa mwaka wa nane, wa tamasha la magari Tanzania (Autofest), tukio linalotarajia kuanza kesho viwanja vya Biafra, Septemba 18-20.2015.
Na Andrew Chale, modewjiblog
[Dar es Salaam-Tanzania] Kwa mara nyingine tena Cheki Tanzania Limited ambayo inameweza kutimiza mwaka mmoja tokea kuingia nchini inatarajia kushirikiana na wadau mbalimbali wa...