Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja

RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sera kuwezesha wanafunzi wajawazito yaja

SERIKALI imesema iko mbioni kuzindua sera ya elimu itakayoruhusu wasichana kuendelea na masomo pindi wanapokuwa wamepata ujauzito na kujifungua ili kuhakikisha kila mmoja anapata haki sawa ya elimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Gesi kuwafaidisha wazawa

Watanzania wataanza kunufaika na gesi asilia mwakani baada ya megawati 1,500 za umeme unaotokana na gesi asilia pekee kuanza kuzalishwa, jambo linaloelezwa kuwa litapunguza gharama kwa watumiaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Mengi atetea wazawa kumiliki gesi

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amesema hoja kwamba Watanzania hawana mtaji wa kumiliki vitalu vya gesi si sahihi kwa kuwa gesi yenyewe ni mtaji wa kutosha kwa Watanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Zabuni za gesi zimetoka, wazawa zichangamkie

Serikali imezindua rasmi zabuni ya nne ya vitalu vya utafiti wa mafuta na gesi asilia. Uzinduzi huo unaohusisha vitalu saba, sita vikiwa Bahari Kuu na kimoja kikiwa Ziwa Tanganyika ulifanyika mwishoni mwa mwezi uliopita, chini ya uratibu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) kwa niaba ya Serikali. Tunaambiwa kwamba mchakato wa zabuni hiyo utafungwa rasmi baada ya miezi sita, yaani Mei 15, 2014.

 

11 years ago

Habarileo

Sheria ya msaada wa kisheria yaja

 Angellah Kairuki NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amesema serikali inaendelea na jitihada za kutunga sheria ya huduma ya msaada wa kisheria ambayo itawezesha upatikanaji stahiki wa haki kwa wananchi kwa wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali.

 

10 years ago

Habarileo

Marekebisho ya sheria ya ushahidi yaja

WAZIRI wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakar Khamis Bakary amesema marekebisho ya sheria ya ushahidi ya mwaka 1917 yapo katika hatua za mwisho ngazi za watendaji wakuu.

 

9 years ago

Mtanzania

RITA yaja na mapendekezo sheria ya ufilisi

emmy hudsonNa Mwandishi Wetu

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) inakusudia kufanya marekebisho makubwa ya kimfumo, baada ya kuja na mependekezo yanayolenga kuwapo kwa sheria ya ufisili.

Hatua hiyo inatajwa kuwa itawaweka mahala pagumu baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, kampuni na mashirika ya kimataifa yanayotangaza kufilisika kwa njia za ujanjaujanja.

Akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa RITA, Emmy Hudson  alisema hadi sasa...

 

11 years ago

Habarileo

Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi

Profesa Anna TibaijukaWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria mpya kudhibiti dawa za kulevya yaja

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William LukuviSERIKALI imetunga Sheria mpya kali zaidi itakayoondoa changamoto zilizokuwa zikijitokeza wakati wa matumizi ya Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya Namba 9 ya mwaka 1995 inayotumika sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani