RITA yaja na mapendekezo sheria ya ufilisi
Na Mwandishi Wetu
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) inakusudia kufanya marekebisho makubwa ya kimfumo, baada ya kuja na mependekezo yanayolenga kuwapo kwa sheria ya ufisili.
Hatua hiyo inatajwa kuwa itawaweka mahala pagumu baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, kampuni na mashirika ya kimataifa yanayotangaza kufilisika kwa njia za ujanjaujanja.
Akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa RITA, Emmy Hudson alisema hadi sasa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) yasajili na kutoa vyeti 5,081 kwa shule zote za wilaya ya Kinondoni jijini Dar
Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling’ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Wilaya ya Kinondoni. Kushoto ni Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Josephat Kimaro.
Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA),...
10 years ago
VijimamboWAKALA WA USAJILI UFILISI NA UDHAMINI (RITA) YASAJILI NA KUTOA VYETI 5,081 KWA SHULE ZOTE ZA WILAYA YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Habarileo16 Jul
Sheria ya msaada wa kisheria yaja
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amesema serikali inaendelea na jitihada za kutunga sheria ya huduma ya msaada wa kisheria ambayo itawezesha upatikanaji stahiki wa haki kwa wananchi kwa wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali.
10 years ago
Habarileo19 Mar
Marekebisho ya sheria ya ushahidi yaja
WAZIRI wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakar Khamis Bakary amesema marekebisho ya sheria ya ushahidi ya mwaka 1917 yapo katika hatua za mwisho ngazi za watendaji wakuu.
5 years ago
MichuziKamati ya Bunge yaiagiza THBUB kupeleka mapendekezo ya kutungwa sheria ya matumizi ya mitandao
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imeiagiza Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki Maendeleo kuandaa mapendekezo yatakayosaidia kuanzishwa kwa mchakato wa kutungwa kwa sheria ya kulinda haki za mtumiaji wa huduma za mifumo ya kimtandao na kuyawasilisha kwa kamati hiyo ili waweze kushawishi bunge na mamlaka nyingine husika ili sheria hiyo iweze kutungwa.
Maelekezo hayo yalitolewa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya...
11 years ago
Habarileo19 Dec
Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Sheria kubana utitiri kampuni za ulinzi yaja
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....
10 years ago
Habarileo09 Feb
Sheria mpya ya vibali vya ajira yaja
WIZARA ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza kuzifanya.
Waziri katika wizara hiyo, Gaudentia Kabaka aliliambia Bunge kuwa sheria hiyo itatoa mwongozo juu ya utoaji vibali, kwani sasa kumekuwa na sehemu nyingi hivyo kuwa na sehemu moja pamoja na adhabu kwa wageni wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.
Alisema mchakato huo uko...