Sheria kubana utitiri kampuni za ulinzi yaja
Jeshi la Polisi limesema sheria mpya ya kusimamia kampuni binafsi za ulinzi itatungwa na Bunge mwakani. Sheria hiyo ikipitishwa imeelezewa kuwa itasaidia kupunguza utitiri wa kampuni hizo zinazofikia 750 hivi sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo04 Jan
Sheria kutumika kubana wafanyabiashara
UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro umesema kuanzia sasa utaanza kutumia sheria, taratibu na kanuni zilizopitishwa kisheria kuhakikisha wafanyabiashara wanafanya kazi zao katika maeneo yaliyotengwa ikiwamo masoko na si vinginevyo.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s72-c/images.jpg)
makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s1600/images.jpg)
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bYSKMi_bzjY/VMXk9D9rHxI/AAAAAAAG_dg/rAORO3gzyQg/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE UMEFUNGUA/UNATAKA KUFUNGUA KAMPUNI, JIFUNZE KAMPUNI YAKO INAVYOTAKIWA KULIPA KODI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bYSKMi_bzjY/VMXk9D9rHxI/AAAAAAAG_dg/rAORO3gzyQg/s1600/images.jpg)
Vijana wengi wajasiriamali wadogo wamefungua makampuni. Hakika wote waliofanya hivi wamefanya jambo jema linaloendana na wakati. Niliwahi kuandika wakati nikielekeza namna nyepesi kabisa ya kufungua kampuni kuwa, ni vigumu kwa leo kufanya biashara na ukawa na mafanikio nje ya kampuni. Nikasema hata kama unauza maziwa, mama ntilie, unauza mayai, kibanda cha huduma ya fedha kupitia simu,unauza mihogo, haizuiwi kufungua kampuni.
Kuna kampuni hata za mtaji...
11 years ago
Habarileo16 Jul
Sheria ya msaada wa kisheria yaja
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amesema serikali inaendelea na jitihada za kutunga sheria ya huduma ya msaada wa kisheria ambayo itawezesha upatikanaji stahiki wa haki kwa wananchi kwa wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali.
10 years ago
Habarileo19 Mar
Marekebisho ya sheria ya ushahidi yaja
WAZIRI wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakar Khamis Bakary amesema marekebisho ya sheria ya ushahidi ya mwaka 1917 yapo katika hatua za mwisho ngazi za watendaji wakuu.
11 years ago
Habarileo19 Dec
Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.
9 years ago
Mtanzania04 Jan
RITA yaja na mapendekezo sheria ya ufilisi
Na Mwandishi Wetu
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) inakusudia kufanya marekebisho makubwa ya kimfumo, baada ya kuja na mependekezo yanayolenga kuwapo kwa sheria ya ufisili.
Hatua hiyo inatajwa kuwa itawaweka mahala pagumu baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, kampuni na mashirika ya kimataifa yanayotangaza kufilisika kwa njia za ujanjaujanja.
Akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa RITA, Emmy Hudson alisema hadi sasa...
10 years ago
Habarileo09 Feb
Sheria mpya ya vibali vya ajira yaja
WIZARA ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza kuzifanya.
Waziri katika wizara hiyo, Gaudentia Kabaka aliliambia Bunge kuwa sheria hiyo itatoa mwongozo juu ya utoaji vibali, kwani sasa kumekuwa na sehemu nyingi hivyo kuwa na sehemu moja pamoja na adhabu kwa wageni wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.
Alisema mchakato huo uko...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....