Kamati ya Bunge yaiagiza THBUB kupeleka mapendekezo ya kutungwa sheria ya matumizi ya mitandao
Na Mbaraka Kambona,
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imeiagiza Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki Maendeleo kuandaa mapendekezo yatakayosaidia kuanzishwa kwa mchakato wa kutungwa kwa sheria ya kulinda haki za mtumiaji wa huduma za mifumo ya kimtandao na kuyawasilisha kwa kamati hiyo ili waweze kushawishi bunge na mamlaka nyingine husika ili sheria hiyo iweze kutungwa.
Maelekezo hayo yalitolewa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV19 Sep
Wakazi wa Arusha wafuraishwa na matumizi ya sheria ya makosa ya mitandao.
Sheria za makosa ya mtandao na miamala ya kielektoniki za mwaka 2015 zimeonesha kupokelewa vema na wakazi wa jiji la Arusha kutokana na adha mbalimbali walizokuwa wanakabiliana nazo kabla ya kuanza kwa sheria hizo.
Wakazi hao wameonesha kufurahishwa na jitihada zinazofanywa na Serikali kupambana na makosa ya mtandao hasa katika nyakati hizi ambapo matukio ya namna hiyo yameshamri.
Wakati wananchi wakizungumza hayo Wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia imeandaa kikao...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yatakayovunja Muungano
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yanayodhoofisha Muungano — 2
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Tujikumbushe mapendekezo ya kamati za Bunge maalumu yatakayovunja Muungano, changamoto kwa rais ajaye
11 years ago
Michuzi16 Jun
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pbK2WEx0ZdM/Xnt0yn-xwhI/AAAAAAALlB4/KyjI8xt9ETkxciN80ezGZo7wXZXV9gKywCLcBGAsYHQ/s72-c/Picha%2B1.jpg)
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAPITIA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21 KILICHOFANYIKA JIJINI DODOMA LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-pbK2WEx0ZdM/Xnt0yn-xwhI/AAAAAAALlB4/KyjI8xt9ETkxciN80ezGZo7wXZXV9gKywCLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B1.jpg)
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Katikati), Katibu Mkuu, Christopher Kadio (Kulia) na Naibu klatibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza Kikao Cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/21 katika Kikao kilichofanyika Jijini Dodoma leo.
![](https://1.bp.blogspot.com/-wDvsc-57EWo/Xnt0y8s_BjI/AAAAAAALlCA/hcqW-2O4u5gjJiXyPPUaB3i5B0apD3lcgCLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B2.jpg)
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Kushoto), Katibu Mkuu, Christopher Kadio...
10 years ago
MichuziKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Katiba,sheria na Utawala yaridhishwa na miradi ya TASAF Mbarali
Wakizungumza na walengwa hao katika kijiji cha Madabaga wabunge hao wameonyesha kuridhishwa na mafanikio makubwa yaliyoanza kupatikana baada ya walengwa kupata fedha chini ya utaratibu wa uhawilishaji fedha...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-M8-AdoWky8g/UuuNMuwcfwI/AAAAAAACZsU/VFk62pyec08/s72-c/New+Picture.png)
Ziara ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora yatinga Makao makuu ya TASAF
![](http://2.bp.blogspot.com/-M8-AdoWky8g/UuuNMuwcfwI/AAAAAAACZsU/VFk62pyec08/s1600/New+Picture.png)
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora imefanya ziara ya kikazi katika Makao makuu ya TASAF jijini Dar es Salaam ili kupata taarifa za utekelezaji wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini na zilizo katika Mazingira hatarishi unaotekelezwa chini ya TASAF...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eFl_RS4_lU8/XntigJXhvKI/AAAAAAALlAU/pjfvwZySGMQJ4hbB1VAMr1zuK8hkkLWIwCLcBGAsYHQ/s72-c/fd3e62b3-b0c9-4982-a16d-57b3e53b4bea.jpg)
KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-eFl_RS4_lU8/XntigJXhvKI/AAAAAAALlAU/pjfvwZySGMQJ4hbB1VAMr1zuK8hkkLWIwCLcBGAsYHQ/s640/fd3e62b3-b0c9-4982-a16d-57b3e53b4bea.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/ef7cc33b-8a9e-4385-bc7d-c8b8f85ef709.jpg)
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Asha Abdalla Juma akizungumza...