Zabuni za gesi zimetoka, wazawa zichangamkie
Serikali imezindua rasmi zabuni ya nne ya vitalu vya utafiti wa mafuta na gesi asilia. Uzinduzi huo unaohusisha vitalu saba, sita vikiwa Bahari Kuu na kimoja kikiwa Ziwa Tanganyika ulifanyika mwishoni mwa mwezi uliopita, chini ya uratibu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) kwa niaba ya Serikali. Tunaambiwa kwamba mchakato wa zabuni hiyo utafungwa rasmi baada ya miezi sita, yaani Mei 15, 2014.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Gesi kuwafaidisha wazawa
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Mengi atetea wazawa kumiliki gesi
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....
9 years ago
StarTV21 Aug
Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa
Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.
Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...
9 years ago
Habarileo26 Aug
Zabuni za kupeana zamchefua JK
RAIS Jakaya Kikwete amekemea tabia ya kugawana zabuni kwa `kujuana’, tena bila ya kuzingatia uwezo wa kampuni zinazopewa kazi mbalimbali za serikali, ikiwamo ujenzi wa barabara nchini.
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Kabwe alia na zabuni za rushwa
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Zabuni ya kuvua mamba yatangazwa
SERIKALI imetangaza zabuni ya kuvua mamba 118 nchini ambapo maeneo yatakayopewa kipaumbele ni yale yaliyothibitishwa kuwa na mamba waharibifu. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu aliyasema hayo jana wakati...
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Zabuni zatafuna mabilioni ya fedha nchini
10 years ago
Mwananchi24 Apr
NEC yatangaza zabuni Kura ya Maoni