Zabuni zatafuna mabilioni ya fedha nchini
>Wakati matukio kadhaa ya ufisadi wa mamilioni ya fedha za umma yakiwa bado yanaendelea kujadiliwa nchini, imeelezwa kuwa Serikali hupoteza kiasi kikubwa cha fedha kwenye zabuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi11 Apr
Rais ateua Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma, Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Biashara ya Fedha Haramu.
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Manyara watenga bajeti ya mabilioni ya fedha
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NyWKxri9z-E/VSjNRZnddcI/AAAAAAAHQRc/UNbjryyvIVQ/s72-c/unnamed%2B(85).jpg)
PWANI WAINGIZA MABILIONI YA FEDHA KUPITIA MISITU
Hayo yalisemwa juzi wilayani Bagamoyo na Ofisa Misitu wa mkoa huo Daniel Isara, wakati wa maadhimisho ya upandaji miti kimkoa iliyofanyika kwenye eneo la la Gareza la Kigongoni ambapo ilipandwa zaidi ya miti 3,000.
Isara alisema kuwa fedha hizo zimetokana na kukabiliana na uharibifu wa rasilimali misitu na...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
BREAKING NEWS: Serikali yatoa tamko juu ya mabilioni ya fedha za miradi ya MCC
Kamishna Mkuu wa bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, Johnny Cheyo (Picha ya Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Kufuatia suala la Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani kuonya juu ya hali ya kisiasa Zanzibar na matukio mengine yanayotokea hapa nchini huku ikielezwa kuwa inaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada huo, Mapema leo Serikali ya Tanzania kupitia Wizara yake ya Fedha na Uchumi mbele ya waandishi wa habari, wamewatoa hofu watanzania...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Mabilioni yapelekwa nchini India
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Bidhaa za mabilioni zateketezwa nchini
9 years ago
Habarileo23 Oct
Poland yatoa mabilioni kupaisha kilimo nchini
SERIKALI ya Poland imetoa mkopo wenye thamani ya Sh bilioni 220 kwa Tanzania utakaoinua kilimo nchini ambao sehemu ya fedha itatumika kujenga kiwanda cha trekta na nyingine kujenga maghala ya chakula nchini.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Video 2 za Diamond zatafuna mil. 132/-
STAA wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, amesema video zake za ‘Mdogo mdogo’ na ‘ Bum bum’ zimegharimu dola 78,000; zaidi ya shilingi milioni 132 za Tanzania....
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Timua timua Yanga yaibua ufisadi wa mabilioni ya fedha