Mabilioni yapelekwa nchini India
Taarifa zilizopatikana kutoka wizarani zinaonyesha kuwa kati ya wagonjwa 150 na 200 husafirishwa na Serikali kwenda nchini India, ambako kuna uhakika wa matibabu, kila mwaka. Idadi hii haijumushi wale wanaolipiwa na ofisi zisizo za serikali au wanaojilipia wenyewe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar
Wizara ya...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Bidhaa za mabilioni zateketezwa nchini
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Zabuni zatafuna mabilioni ya fedha nchini
9 years ago
Habarileo23 Oct
Poland yatoa mabilioni kupaisha kilimo nchini
SERIKALI ya Poland imetoa mkopo wenye thamani ya Sh bilioni 220 kwa Tanzania utakaoinua kilimo nchini ambao sehemu ya fedha itatumika kujenga kiwanda cha trekta na nyingine kujenga maghala ya chakula nchini.
10 years ago
Dewji Blog27 Dec
NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU
Majonzi makubwa lufuatia taarifa za msiba jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.
Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge kupitia ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...
11 years ago
Habarileo01 Apr
Rufaa ya Mnyika yapelekwa kamati ya kanuni
RUFAA ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika, anayepinga uteuzi wa wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa Bunge Maalumu, imepelekwa kwa Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge hilo.
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Ndege ya Ethiopia iliyokwama yapelekwa KIA
10 years ago
Habarileo03 Sep
Mabasi chakavu yapelekwa Lindi, Mtwara
OPERESHENI maalumu iliyofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imebaini mabasi yanayokwenda katika mikoa ya kusini mengi yamechakaa na hakuna basi la daraja la kwanza.