Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bidhaa za mabilioni zateketezwa nchini

Tume ya Ushindani Tanzania (TCC) imeteketeza bidhaa zenye thamani ya Sh4.2 bilioni ambazo ziliingizwa nchini zikiwa na upungufu na kukosa ubora.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TRA yakamata bidhaa za magendo za mabilioni

Kamishna Mkuu wa TRA, Dk Rished BadeMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa za magendo zenye thamani ya Sh milioni 228.4, ikiwa ni katika jitihada za kudhibiti uingizaji wa bidhaa kwa njia ya magendo na biashara ya magendo nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabilioni yapelekwa nchini India

Taarifa zilizopatikana kutoka wizarani zinaonyesha kuwa kati ya wagonjwa 150 na 200 husafirishwa na Serikali kwenda nchini India, ambako kuna uhakika wa matibabu, kila mwaka. Idadi hii haijumushi wale wanaolipiwa na ofisi zisizo za serikali au wanaojilipia wenyewe.

 

11 years ago

Mwananchi

Zabuni zatafuna mabilioni ya fedha nchini

>Wakati matukio kadhaa ya ufisadi wa mamilioni ya fedha za umma yakiwa bado yanaendelea kujadiliwa nchini, imeelezwa kuwa Serikali hupoteza kiasi kikubwa cha fedha kwenye zabuni.

 

9 years ago

Habarileo

Poland yatoa mabilioni kupaisha kilimo nchini

SERIKALI ya Poland imetoa mkopo wenye thamani ya Sh bilioni 220 kwa Tanzania utakaoinua kilimo nchini ambao sehemu ya fedha itatumika kujenga kiwanda cha trekta na nyingine kujenga maghala ya chakula nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Bidhaa nchini hazina ubora’

Bidhaa nyingi nchini zimeendelea kushindwa kuingia kwenye masoko ya ndani na nje kutokana na changamoto za vifungashio, nembo na alama za mistari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngozi; bidhaa isiyothaminiwa nchini

NGOZI ni bidhaa inayoweza kuzalisha vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kuchangia kwa kiwango kikubwa  kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Kwa mujibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kununua bidhaa nchini

TATIZO la ajira nchini litaisha endapo Watanzania watabadilika na kupenda kununua bidhaa zinazozalishwa na viwanda  vilivyopo nchini. Hayo yalielezwa juzi na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda  cha A to Z, Anuj...

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA kudhibiti bidhaa feki nchini

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeongeza vituo vya ukaguzi katika kanda sita ili kudhibiti uingizaji bidhaa feki nchi na kulinda afya za watumiaji.

 

9 years ago

Mwananchi

China, TPSF kufanya maonyesho ya bidhaa nchini

Wizara ya Biashara na Uchumi ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), wanatarajia kufanya maonyesho ya nne ya bidhaa zao nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani