Ngozi; bidhaa isiyothaminiwa nchini
NGOZI ni bidhaa inayoweza kuzalisha vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kuchangia kwa kiwango kikubwa kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Kwa mujibu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI MHAGAMA AKIKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI KARANGA
5 years ago
MichuziWAZIRI MHAGAMA APONGEZA MAFANIKIO YALIYOFIKIWA KATIKA UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akifurahia pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza muonekano wa majengo mapya ya Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Karanga alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo Mkoani Kilimanjaro. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko wa...
10 years ago
StarTV10 Jan
Uzalishaliji Ngozi waendelea kuwa changamoto nchini
Na Esther Nangale
Mwanza.
Tanzania inatajwa kuwa nchi ya pili kwa kuwa na mifugo mingi barani Afrika ikitanguliwa na Ethiopia, lakini kipato kinachopatikana kutokana na mazao ya mifugo hakilingani na idadi ya mifugo hiyo.
Zao la ngozi linatajwa kuwa miongoni mwa mazao yanayotoa mchango katika maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii kwa kutoa wa fursa za ajira, na kuingiza fedha za kigeni na hivyo kuifanya serikali kuongeza mapato.
Tanzania ilipopata uhuru mwaka 1961 kulikuwa na viwanda...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
WOP na nia ya kunusuru soko la ngozi nchini
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya mifugo ikilinganishwa na nchi nyingine. Takwimu kutoka katika Wizara ya Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo zinaonyesha kuwa kuna ng’ombe milioni 21.3; ...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NCHI AKUTANA NA VIONGOZI WA WALEMAVU WA NGOZI NCHINI
11 years ago
Mwananchi01 Aug
AFYA YA NGOZI: Maradhi ya ngozi kwa njia ya ngono
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Jamii itoe ushirikiano kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini
Na. Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMA
JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi nchini katika kutoa taarifa zitakazo fanikisha kukamatwa kwa wote walioshiriki mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini.
Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Pereira Silima (pichani) bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mhe. Al -Shaimaa Kwegyir, Mbunge wa Viti Maalum aliyehoji kuchelewa kwa taarifa ya kupatikana kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi,...
10 years ago
Mwananchi05 Dec
‘Bidhaa nchini hazina ubora’