Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA NCHI AKUTANA NA VIONGOZI WA WALEMAVU WA NGOZI NCHINI

Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akisikiliza kwa makini hoja kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Sera Wizara ya Mambo ya Ndani Bi. Joyce Momburi (hayupo pichani) wakati wa Kikao cha Pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (AKUAT)Ofisini kwake Aprili 24, 2015. Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akiwa na Viongozi wa Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi walipomtembelea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini wametembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKI MKUTANO MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NCHINI ETHIOPIA

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
VIONGOZI nchini wametakiwa kushiriki katika mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi utakaofanyika Julai 13 na 16 Addis Ababa Ethiopia.


Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (CAN),Sixsbaty Mwanga amesema mkutano huo ni muhimu kutokana hali iliyopo sasa katika mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kuongezeka ukame ,njaa pamoja na mafuriko, hivyo viongozi wanaweza kushawishi mkutano katika kuongeza...

 

10 years ago

GPL

JULIETH ATESWA NA WALEMAVU WA NGOZI

Stori: Gladness Mallya MISS Progress International, Julieth William ambaye ni Mkurugenzi wa Progressive Foundation amesema kamwe hawezi kuwasahau walemavu wa ngozi kutokana na mateso wanayopata ya kukatwa viungo na kuuawa ambapo kila wakati huwa anawapatia msaada. Miss Progress International, Julieth William akiwabeba watoto wawili wenye ulemavu wa ngozi. Akizungumza hivi karibuni baada ya kutoa msaada wa vifaa mbalimbali vya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MUHONGO AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo katika picha ya pamoja na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini za Kiislamu na Kikirsto kutoka Mikoa ya Mwanza na Geita. Wa pili nyuma kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Sheria Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (katikati), akisalimiana na Askofu Zenabius Isaya na baadhi ya Viongozi wa Dini wa...

 

10 years ago

GPL

WALEMAVU WA NGOZI WALAANI UKATILI DHIDI YAO

Viongozi wa vyama vya watu wenye ulemevu wakiwa meza kuu.
Waandishi wa habari wakiwa na walemavu wa ngozi 'Albino'.
Wanahabari wakichukua taarifa za tamko la vyama vya walemavu…

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Mushy akutana na Wawakilishi wa Nchi za G4 nchini Tanzania

Balozi Celestine Mushy, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiongea jambo wakati alipokutana na wawakilishi wa nchi za G4 hapa nchini ambazo ni India, Brazil, Ujerumani na Japan. Mwingine katika picha ni Bibi Ramla Khamis, Afisa katika Wizara ya Mambo ya Nje. Balozi Mushy na wawakilishi hao walijadili masuala ya mabadiliko katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambapo alisisitiza msimamo wa bara la Afrika wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tattoo husababisha maradhi ya ngozi, kuzaa watoto walemavu

>Siku hizi hapa nchini ni jambo la kawaida kuona watu hasa vijana wakiwa wamejiremba miili yao kwa michoro, maarufu kama tattoo.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YATOA MSAADA KWA WALEMAVU WA NGOZI

 Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mussa Jallow (wa tatu kushoto), akikabidhi pikipiki kwa Mwenyekiti wa Chama cha Albino (TAS) Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani, katika hafla ambayo NBC ilikabidhi pikipiki tatu, kofia, miwani na mafuta ya ngozi ikiwa ni sehemu ya juhudi za benki hiyo katika kuisaidia jamii. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Kibaha, Pwani jana. Wengine ni baadhi ya wanachama wa TAS na maofisa wa NBC. Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kibaha, Asia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani