Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALEMAVU WA NGOZI WALAANI UKATILI DHIDI YAO

Viongozi wa vyama vya watu wenye ulemevu wakiwa meza kuu.
Waandishi wa habari wakiwa na walemavu wa ngozi 'Albino'.
Wanahabari wakichukua taarifa za tamko la vyama vya walemavu…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAMBUENI JUHUDI ZETU KUZUIA UKATILI DHIDI YA WALEMAVU WA NGOZI-TANZANIA

Na Mwandishi Maalum, New York


Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  imesisitiza haja na umuhimu wa Jumuiya ya Kimataifa ya kutambua mchango unaofanywa na serikali   wa kukabiliana na vitendo vya kikatili  dhidi ya  wananchi  wake  wenye  matatizo  ya   ulemavu wa ngozi ( albino)

Wito huo  wa Tanzania umetolewa  mapema  wiki hii ( Jumanne) wakati   Wajumbe wa Kamati ya Tatu ya  Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  walipopitisha kwa  kupiga kura,  Azimio  linalotaka   Juni    13 ya  kila mwaka iwe ni...

 

10 years ago

StarTV

Ukatili dhidi ya wenye Albinism, viongozi wa dini walaani.

Na Wilson Elisha,

Mwanza.

 

Viongozi wa kamati ya amani ya dini ya Mkoa wa Mwanza wamesema vitendo cha ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino vya kuwaua kwa kuwakata mapanga kuwa ni laana kwa wanaofanya hivyo na havikubaliki katika jamii.

 

Kutokana na hali hiyo viongozi hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wale wote wanaohusika wanachukuliwa hatua za kisheria ili haki iweze kutendeka wakati huu ambao wameandaa kongamano la wazi la...

 

10 years ago

GPL

KONGAMANO LA SIKU MBILI LA UKATILI WA JINSIA DHIDI YA WANAWAKE NA WALEMAVU

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Seed Trust, Margareth Mkanga (MB) akizungumza katika kongamano hilo. Kulia ni Mwenyekiti wa Shirika hilo, Stephen Mashishanga. Kongamano hilo la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania na kuandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa...

 

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA SIKU MBILI VITA DHIDI YA UKATILI KWA WANAWAKE NA WALEMAVU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akihutubia wakati akifungua Kongamano la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu Mkoani Morogoro leo. Kongamano hilo ambalo limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania limeandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA). Kulia ni Katibu Mtendaji Tume ya Haki za...

 

10 years ago

GPL

KONGAMANO LA SIKU MBILI VITA DHIDI YA UKATILI KWA WANAWAKE NA WALEMAVU LILILOANDALIWA NA SHIRIKA LA SEED TRUST LAFANYIKA MKOANI MOROGORO‏

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akihutubia wakati akifungua Kongamano la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu Mkoani Morogoro leo. Kongamano hilo ambalo limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania limeandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA SIKU MBILI LA UKATILI WA JINSIA DHIDI YA WANAWAKE NA WALEMAVU LILILOANDALIWA NA SHIRIKA LA SEED TRUST LAFIKIA TAMATI MKOANI MOROGORO DESEMBA 9-2014

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Seed Trust, Margareth Mkanga (MB) akizungumza katika kongamano hilo. Kulia ni Mwenyekiti wa Shirika hilo, Stephen Mashishanga. Kongamano hilo la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania na kuandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA).
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaharakati walaani mtoto kufanyiwa ukatili

TAASISI zinazojihusisha na utetezi wa haki za binadamu, wanawake na watoto, zimelaani kitendo cha walezi wa mtoto Nasra Rashid (4) kumficha katika boksi tangu akiwa na miezi tisa hadi sasa...

 

10 years ago

Habarileo

Wasabato walaani ukatili kwa albino

KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.

 

10 years ago

GPL

JULIETH ATESWA NA WALEMAVU WA NGOZI

Stori: Gladness Mallya MISS Progress International, Julieth William ambaye ni Mkurugenzi wa Progressive Foundation amesema kamwe hawezi kuwasahau walemavu wa ngozi kutokana na mateso wanayopata ya kukatwa viungo na kuuawa ambapo kila wakati huwa anawapatia msaada. Miss Progress International, Julieth William akiwabeba watoto wawili wenye ulemavu wa ngozi. Akizungumza hivi karibuni baada ya kutoa msaada wa vifaa mbalimbali vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani