Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOP na nia ya kunusuru soko la ngozi nchini

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya mifugo ikilinganishwa na nchi nyingine. Takwimu kutoka katika Wizara ya Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo zinaonyesha kuwa kuna ng’ombe milioni 21.3; ...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Serikali kunusuru machinga nchini

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imeingilia kati manyanyaso wanayopata wafanyabiashara ndogo na mamalishe nchini, kwa kuamua kuunda kikosi cha kiofisi, kitakachohusisha wajasiriamali hao kwa lengo la kukubaliana juu ya maeneo na muda mwafaka wa kuendesha shughuli zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngozi; bidhaa isiyothaminiwa nchini

NGOZI ni bidhaa inayoweza kuzalisha vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kuchangia kwa kiwango kikubwa  kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Kwa mujibu...

 

10 years ago

StarTV

Uzalishaliji Ngozi waendelea kuwa changamoto nchini

Na Esther Nangale

Mwanza.

 

Tanzania inatajwa kuwa nchi ya pili kwa kuwa na mifugo mingi barani Afrika ikitanguliwa na Ethiopia, lakini kipato kinachopatikana kutokana na mazao ya mifugo hakilingani na idadi ya mifugo hiyo.

 

Zao la ngozi linatajwa kuwa miongoni mwa mazao yanayotoa mchango katika maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii kwa kutoa wa fursa za ajira, na kuingiza fedha za kigeni na hivyo kuifanya serikali kuongeza mapato.

 

Tanzania ilipopata uhuru mwaka 1961 kulikuwa na viwanda...

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?

>Tangu tuanze kuichambua mada hii ya maradhi ya saratani ya ngozi, tumeangazia mambo mbalimbali ikiwamo saratani ni nini, aina za saratani, makundi ya watu yanayoathiriwa zaidi na saratani hii ya ngozi.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI AKUTANA NA VIONGOZI WA WALEMAVU WA NGOZI NCHINI

Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akisikiliza kwa makini hoja kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Sera Wizara ya Mambo ya Ndani Bi. Joyce Momburi (hayupo pichani) wakati wa Kikao cha Pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (AKUAT)Ofisini kwake Aprili 24, 2015. Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akiwa na Viongozi wa Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi walipomtembelea...

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Maradhi ya ngozi kwa njia ya ngono

>Baadhi ya maswali tuliyopokea, mengi yalihusu maradhi ya sunzua ambayo kitaalmu yanajulikana kama warts.

 

10 years ago

Dewji Blog

Jamii itoe ushirikiano kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini

silima

Na. Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMA

JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi nchini katika kutoa taarifa zitakazo fanikisha kukamatwa kwa wote walioshiriki mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini.

Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani  Mhe. Pereira Silima (pichani) bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mhe. Al -Shaimaa Kwegyir, Mbunge wa Viti Maalum aliyehoji kuchelewa kwa taarifa ya kupatikana kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

11 years ago

Habarileo

Paras India yaonesha nia kuwekeza afya nchini

UJUMBE wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana ambapo pamoja na mambo mengine umeanza mchakato kuwekeza katika sekta ya afya. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa Hospitali hizo anayehusika na Uhusiano wa Kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani