Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kunusuru machinga nchini

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imeingilia kati manyanyaso wanayopata wafanyabiashara ndogo na mamalishe nchini, kwa kuamua kuunda kikosi cha kiofisi, kitakachohusisha wajasiriamali hao kwa lengo la kukubaliana juu ya maeneo na muda mwafaka wa kuendesha shughuli zao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yahaha kunusuru bajeti

Serikali iko taabani kifedha na sasa inatafuta vyanzo vipya vya mapato ili kutekeleza bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2014/2015, ambayo ni Sh19 trilioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

WOP na nia ya kunusuru soko la ngozi nchini

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya mifugo ikilinganishwa na nchi nyingine. Takwimu kutoka katika Wizara ya Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo zinaonyesha kuwa kuna ng’ombe milioni 21.3; ...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini migogoro haiishi kati ya Machinga, Serikali?

Jiji la Mwanza linakadiriwa kuwa na wafanyabiashara kati ya 2,800 hadi 3,000 wanaojishughulisha na biashara mbalimbali huku likitajwa kuwa jiji la pili kuchangia pato la Taifa .

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau, serikali wana mengi ya kufanya kunusuru elimu

>Hii ni wiki ya maadhimisho ya elimu. Wadau wa sekta hiyo kuanzia ngazi ya wilaya na mikoa wamekuwa wakikutana kujadili hatima ya elimu nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex

WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa  katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao  katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...

 

11 years ago

Mwananchi

Labda CCM itawale milele kunusuru Muungano wa serikali mbili

>Hadi  sasa imebainika kuwa  kitu ‘kinachowasha moto’ siyo muundo wa serikali, bali ni aina gani ya muundo wa serikali unaoweza kuunusuru Muungano huu uliodumu kwa  miaka 50.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mbunge ‘Zungu’ aishukia serikali dhidi ya machinga, boda boda, mama ntilie

   awataka wabunge wengine wasije Dar es Salaam, wakae kwenye majimbo yao

zungu pics

Mbunge wa Ilala, Hassan Musa ‘Zungu’

Na Damas Makangale, Moblog Tanzania

MBUNGE wa Ilala,  Musa Hassan maarufu kama ‘Zungu’ leo asubuhi katika kikao cha Bunge la Bajeti kinachoendelea mjini Dodoma amekataa kuunga mkono Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu yenye makadirio ya kiasi cha shilingi trilioni tano.

Akizungumza kwenye kipindi cha  maswali na majibu ya ofisi ya Waziri Mkuu Bajeti ya  2014/2015, Mbunge Musa Hassan...

 

5 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUHAMASISHA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO NCHINI KUJIUNGA KIFURUSHI CHA MACHINGA AFYA KWA SH.100,000

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umeanzisha kifurushi cha 'Machinga Afya' kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Wamachinga ambacho gharama yake ni Sh.100,000 tu.

Kwa mujibu wa NHIF ni kifurushi hicho baada mwanachama kujiunga na kulipa fedha hizo atapata huduma ya matibabu ya afya nchi nzima na katika vituo vya afya zaidi ya 7,700.

Akizungumzia leo Juni 9,2020 jijini Dar es Salaam Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja NHIF Hipoliti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani