Labda CCM itawale milele kunusuru Muungano wa serikali mbili
>Hadi sasa imebainika kuwa kitu ‘kinachowasha moto’ siyo muundo wa serikali, bali ni aina gani ya muundo wa serikali unaoweza kuunusuru Muungano huu uliodumu kwa miaka 50.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Mfumo Bora wa Muungano — Serikali Mbili Zenye Ngazi Tatu
TATIZO moja kubwa la mjadala wa muundo wa Muungano ulivyo sasa, ni kuwa kama taifa tunalazimishwa kufikiria kati ya aina mbili tu za muundo – ama serikali mbili zilivyo sasa...
11 years ago
GPL
SERIKALI MBILI NDIO NGUZO YA MUUNGANO – NDEJEMBI
11 years ago
Habarileo18 Feb
CCM yasisitiza Serikali mbili
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likianza leo mjini hapa, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza kuwa msimamo wa kuwapo kwa Serikali mbili na kuunga mkono maoni ya wengi, lakini ikaonya kuwa si vyema kutishana na kuburuzana.
11 years ago
Mwananchi19 Feb
CCM watofautiana Serikali mbili
11 years ago
Mwananchi21 Mar
‘CCM ina masilahi na Serikali mbili’
11 years ago
Habarileo15 Jan
CCM yasisitiza serikali mbili katika Katiba
KATIBU wa Idara ya Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema CCM bado ni muumini mkubwa wa sera ya Serikali mbili katika Muungano.