Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yahaha kunusuru bajeti

Serikali iko taabani kifedha na sasa inatafuta vyanzo vipya vya mapato ili kutekeleza bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2014/2015, ambayo ni Sh19 trilioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SERIKALI YAHAHA, YAMSAKA BALALI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
IKIWA ni takriban miaka sita sasa tangu aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania  (BoT), Daudi Balali , afariki dunia nchini Marekani, serikali imesema inamsaka kwa udi na uvumba Balali feki anayepotosha Wabongo kwa kujifanya yu hai na anaendelea na maisha nchini humo. Aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania  (BoT), Marehemu Daudi Balali enzi za uhai wake. Akizungumza na...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yahaha kutafuta soko la mahindi nje

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetoa wito kwa wafanyabiashara kuchangamkia masoko ya mazao ya chakula nje ya nchi hasa mahindi kwa kuwa yapo mengi nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kunusuru machinga nchini

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imeingilia kati manyanyaso wanayopata wafanyabiashara ndogo na mamalishe nchini, kwa kuamua kuunda kikosi cha kiofisi, kitakachohusisha wajasiriamali hao kwa lengo la kukubaliana juu ya maeneo na muda mwafaka wa kuendesha shughuli zao.

 

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau, serikali wana mengi ya kufanya kunusuru elimu

>Hii ni wiki ya maadhimisho ya elimu. Wadau wa sekta hiyo kuanzia ngazi ya wilaya na mikoa wamekuwa wakikutana kujadili hatima ya elimu nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Labda CCM itawale milele kunusuru Muungano wa serikali mbili

>Hadi  sasa imebainika kuwa  kitu ‘kinachowasha moto’ siyo muundo wa serikali, bali ni aina gani ya muundo wa serikali unaoweza kuunusuru Muungano huu uliodumu kwa  miaka 50.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti ya Serikali yapita

BAJETI ya Serikali imepita jana baada ya kuridhiwa na wabunge wengi wakiwemo baadhi ya Kambi ya Upinzani, ambapo Wabunge waliopiga kura za Ndiyo 234, Hapana 66.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani